Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

kununua keyboard mpya ina gharimu kiasi gani??
PC yangu ni aina Ya DELL ,
IMG_20200804_094119.jpg
 
Habari za ucku wakuu
Naomba msaada kdg,nina laptop yangu hp toka juzi inachelewa kuwaka.nikibonyeza powerbotton inachukua takkriban dkk 8 hv au zaodi ndo screen inadisplay kuanza kuwaka.
Naomba kusidiwa ttz ni nini hapo?
 
Wakuu, msaada kidogo, nina computer aina ya acer TRAVEL MATE....sasa nikifungua excel sheet nikiwa nafanya kazi zangu ile kasa (Ka alama ka kujumlisha + huwa kanacheza cheza kama kana blink hiv, tatizo litakuwa nini.........
 
Habari bro,
Niko nafanya installation ya Win 10 kwenye dell pc model ya kisasa ya Optiplex 3050. Shida ni kwamba haimaliza installation ina run ikifika ku reboot inarudia process za nyuma. Hapo shida iko wapi?. Win 10 ni genuine.
 
Ikianza kurestart chomoa Flash afu ikiendelea na process irudishe

Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
 
Pc yangu HP inaonesha blue screen na maneno
Tatizo na suluhisho ni nini?
20200816_125924.jpg
 
Habari za ucku wakuu
Naomba msaada kdg,nina laptop yangu hp toka juzi inachelewa kuwaka.nikibonyeza powerbotton inachukua takkriban dkk 8 hv au zaodi ndo screen inadisplay kuanza kuwaka.
Naomba kusidiwa ttz ni nini hapo?
Kwanza kabisa uwezekano wa kuwa na virus ni mkubwa. Ama kama ulibadili adapter yake ukaweka ilivyo na voltage ndogo. Ila option 1 ndo sababu, angusha windows itakua poa
 
laptop yangu imezimika ghafla, nikiwasha feni inawaka baada ya sekunde kadhaa inazimika, HP laptop, tatizo ni nini hapo kiongozi.
 
PC yangu nikiconnect tu kwenye umeme inajiwasha yenyewe tatizo ni nini?
 
Wakuu external yangu umefika kusoma yaani file zote hazifunguki
 
Cmd command kwenye desktop yangu ukifungua tu inapotea, nimejaribu kufanya njia zote nimeshindwa, na hua napenda sn kutumia cmd kujifunza command mbalimbali.
 
Msaada laptop yangu aina ya lenovo thinpad 100 kuna mda inakuwa inawaka na kuzima nini inaweza kuwa chanzo cha tatizo
 
Back
Top Bottom