Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Habari bro,
Niko nafanya installation ya Win 10 kwenye dell pc model ya kisasa ya Optiplex 3050. Shida ni kwamba haimaliza installation ina run ikifika ku reboot inarudia process za nyuma. Hapo shida iko wapi?. Win 10 ni genuine.
Wakati inajireboot chomoa USB au CD unayofanyia installation.
 
Wakuu, msaada kidogo, nina computer aina ya acer TRAVEL MATE....sasa nikifungua excel sheet nikiwa nafanya kazi zangu ile kasa (Ka alama ka kujumlisha + huwa kanacheza cheza kama kana blink hiv, tatizo litakuwa nini.........
Unatumia mouse au touch pad?
 
Habari za ucku wakuu
Naomba msaada kdg,nina laptop yangu hp toka juzi inachelewa kuwaka.nikibonyeza powerbotton inachukua takkriban dkk 8 hv au zaodi ndo screen inadisplay kuanza kuwaka.
Naomba kusidiwa ttz ni nini hapo?
Jaribu kuwasha bila betri.
 
PC yangu kila nikiconect na internet kutumia simu inaandika limited na no network, hapo tatizo ni nn
 
Pole. Ungekua karibu ningeangalia jinsi ya kukusaidia
Asante mkuu.

Lakini kwa uzoefu wako kuna kitu kitakuwa na hitilafu humo ndani? Je nikiendelea kuitumia computer haiwezi kuleta shida nyingine?
 
Back
Top Bottom