The Teacher
Senior Member
- Feb 2, 2013
- 176
- 81
Ilitokea ghafla tu, nilikuwa naitumia then nikaifunika pasipo kuizima (hibanate) kesho yake nipotaka kuiwasha ikagoma ndo hadi leo.imeanzaje kufanya hivyo kama unaweza ku-share na sisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitokea ghafla tu, nilikuwa naitumia then nikaifunika pasipo kuizima (hibanate) kesho yake nipotaka kuiwasha ikagoma ndo hadi leo.imeanzaje kufanya hivyo kama unaweza ku-share na sisi?
Moto unaingia kaka, mashine inaunguruma kbd but ndo haiwaki
Chomoa betri na uirejeshe tena, itawaka mkuu!Moto unaingia kaka, mashine inaunguruma kbd but ndo haiwaki
Mimi nipo Dar ngoja tu nikuelekeze. Ni laptop au desktop? Aina gani?
Asante saaana mkuuok kuna sehemu nimeona hapa
jaribu hiv
kwenye hiyo mouse pad kuna two button ambazo uzion zipo kama left na right click katika normal mouse cha kufanya kama unataka fanya right-click , bonyeza upande wa pili wa hiyo touchpad yako mara 2 ili iweze ku-click na double click
kama ukiwa na need nyingine za kuitumia hiyo touch-pad soma hapa mkuu
Solved: How do I "right click" using the Acer track pad? ... - Acer Community - 299498
Nimefanya hivyo mara nyingi sana but hamna kitu kiongozi
Duh! Sometimes laptop za namna hiyo huwa zina switch zake kwa ajili ya betri tu, ushacheck hiyo pia?Nimefanya hivyo mara nyingi sana but hamna kitu kiongozi
Switch yake ni ya kuslide au? Hebu nitajie complete model yake mfano samsung n150Nina pc samsung min yenye panel juu, haitaki kuwaka (hai boot) msaada jamani
NP-NC215 switch yake iko ubavuni ni ya kubonyeza.Switch yake ni ya kuslide au? Hebu nitajie complete model yake mfano samsung n150
AISE MKUU NASHUKURU. IMEPONAAAAAAAA! NIMETUMIA HERUFI KUBWA KWA MSISITIZO, UBARIKIWE....Cooling system problem!
Cha kufanya kama una utaalamu wa kufunga bas fungua Kisha safisha kila sehem sana kwenye fan ambapo ndio inabid ifanye Kaz ya kupooza isipate moto,
Cheki fan yako kama inafanya Kaz vizur kama unaona Ina itilafu Kuna baadhi ya watu wanaweza kukutengenezea hiyo hiyo au kama vip nunua mpya ufunge Kisha ussahau kuweka cooling paste kwenye CPU kwa juu au mafund pia wanafanya ukiwaambia
Pirate
Asante sana mkuu.Pc yangu sijawahi kuipeleka kwa fundi wala haijawahi kufunguliwa lakini sasa nina miezi miwili, nikiiwasha baada ya muda fulani kama dk 30 au 40 inajizima yenyewe na hata nikiiwasha unawaka kawaida tu bila kuleta ujumbe wowote wa tatizo.
Sijui ufumbuzi ni kama huo uliomjibu mdau au mimi ni case tofauti?
Asante sana mkuu.je inakuwa na joto kupitiliza yani namaanisha JOTO AMBALO SIO LA KAWAIDA?,
au UKIHISIKIA MUHUNGURUMO WA FAN NI MKUBWA SANAA KUPITILIZA YAN KAMA FAN INAUNGURUMA SANA NA KWA SAUTI KUBWA?, NA INAPOZIMA UWA UNAKUWA KATIKA MATUMIZI NAYO IPI YAN KILA MARA INAPOZIMA UWA UNAKUWA KATIKA SHUGHULI IPI?
ukishanijibu ndio ntajua jinsi ya kukusaidia kukujibu mkuu
NP-NC215 switch yake iko ubavuni ni ya kubonyeza.
Asante sana mkuu.
Pc yangu joto na muungurumo wa fan uko normal lakini haijawahi kunionesha tabia yoyote isiyoya kawaida.
Haichagui shughuli, niwe nafanya typing , kusikiliza music au kuangalia filamu, au niwe nasoma notes au hata nikiiacha on bila kufanya shughuli yoyote hua inajizima tena bila kuleta warning sms yoyote.
Nilikua natumia windows 7 professional nika unstall kisha nika install windows 7 professional nyingine lakini tatizo bado liko palepale.
Msaada mkuu.
Laptop yangu Dell inspiron 1 5 300 series ukibonyeza power button Haistart Ila inawasha indicator tu haiboot wala kuonyesha chocolate,
Fan inazunguka na mlango wa cd unafunguka fresh tu.
Je tatizo nini maana nimebadilisha RAM hola
Ndiyounamaanisha kwenye kioo aionyesh kitu?
Muda wa kujizima unatofautiana, kuna muda inakaa hata masaa mawili bila kujizima lakini kuna muda ukiwa unafanya shughuli hiyo hiyo inachukua dk 30 mpaka 45 inajizima.ok kwa mara nying uwa inajizima kwa baada ya muda gan?.,
na kila muda inajizima baada ya muda uo uo au muda mwingine uwa inakaa muda zaidi?
na inapowaka kwenye windows boot up screen inaandikaje?
kukusaidia kwa mbali ni ngumu kuliko kukusaidia nikiwa karbu so ndio maana nakuulza maswali mengi kidogo nijue jinsi tunalitatuaje tatizo