Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mkuu umejaribu kwenda kkoo likoma? Maana ni common laptop hiiMkuu natafta battery ya laptop yangu lenovo thinkpad T420
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umejaribu kwenda kkoo likoma? Maana ni common laptop hiiMkuu natafta battery ya laptop yangu lenovo thinkpad T420
Chukua warranty ya manufacture, hapo dukani. Na ngumu hio laptop iwe refurbished maana ni gen moja kabla ya latest, bado hazijatolewa maofisi ya ulaya kuja kuuzwa kwa wingi huku.Mkuu kesho naenda karia koo nipo Dar saivi kwahiyo nimepata hiyo laptop yenye i3 1005g1 sasa naambiwa ni brand new na mimi sijui kama nikitaka kuingizwa cha kike ni dakika tu, sasa nitatambuaje kama laptop ni Used au Refurbished wakati wa kuikagua?
Mkuu umejaribu kudisable touchpad mazima na kutumia tu mouse ya nje kama desktop?Pc yangu aina ya toshiba portege cursor yake ina move automatically left corner to right corner via diagonal.
Nimejaribu kubadili windows lakini bado inasumbua nikiwasha tu cursor ina move crazy.
Nimejaribu kwenda kwenye cursor option na ku untick option zote lakini bado inazingua
Naomba msaada kwa tatizo lini.
Likoma ipo kkoo maeneo gani mkuu?Mkuu umejaribu kwenda kkoo likoma? Maana ni common laptop hii
Pale agrey na msimbazi kwenye simu mtaa unaofuatia ndio likoma, kuna maduka mengi sama ya Computer, pia lipo jengo jipya linaangalizana na bank ya mkombozi Ghorofa zima ni maduka tu ya Computer.Likoma ipo kkoo maeneo gani mkuu?
Mkuu asante sana mzigo nimeuchukua kariakoo kwa 1.1M aiseePale agrey na msimbazi kwenye simu mtaa unaofuatia ndio likoma, kuna maduka mengi sama ya Computer, pia lipo jengo jipya linaangalizana na bank ya mkombozi Ghorofa zima ni maduka tu ya Computer.
Mkuu umejaribu kudisable touchpad mazima na kutumia tu mouse ya nje kama desktop?
disable touchpad, angalia hapo kwenye fn kuna shortcut ya kudisableHapana mkuu ila nakumbuka nili uninstall driver za touchpad mkuu ila tatizo bado linaendelea hadi nafikilia kuiza japo pc yangu naipenda sana
Unataka linux distribution ipi?Nisaidie Namna ya ku install Linux
Nina Toshiba laptop. model C655, baada ya kuinstall windows 10, baadhi ya keys zake hazifanyi kazi, nifanyeje ili zifanye kazi nikizibonyeza?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Previously Zilikuw Zinafanya Kazi?Nina Toshiba laptop. model C655, baada ya kuinstall windows 10, baadhi ya keys zake hazifanyi kazi, nifanyeje ili zifanye kazi nikizibonyeza?
Je, keyboard yake bei gani?Previously Zilikuw Zinafanya Kazi?
Best Option Ni Kubadili Keyboard (Nakushaur kam Fundi)
Asante
Kama upo vizuri kwenye PlayStation tenda msaadaWakuuu nilikuwa na pirika nyingi nyingi nikawa sijaingia kwenye uzi mda mrefu kidogo, nashukuru kwa kusaidiana kujibu changamoto na sasa nitajitahidi kujibu pia na kama kulikuwa na swali alijajibiwa nitajihidi kulijibu cha kufanya andika swali kisha nitag, japo nikichelewa kujibu wapo weng Pia wenye uelewa humu jamvini pia wataweza kulijibu.
Karibuni