Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Google chrome inachelewa kufunguka...shida nini?

Punguza extension kwenye google chrome kwanza, kisha hakikisha Ram inakuwa na space ya kutosha Ili isaidie kuongeza speed, pamoja na HDD yako isiwe full sana.
 
Punguza extension kwenye google chrome kwanza, kisha hakikisha Ram inakuwa na space ya kutosha Ili isaidie kuongeza speed, pamoja na HDD yako isiwe full sana.
Ram nafanyaje iwe na space mzeya
 
Computer yako inachelewa sana kuwaka.. Baada ya kuweka password

Mkuu pc kuchelewa kuwaka ni kutokana na:,

Pc yako kujaa
Ram Ndogo
Start up app ni nyingi
virus

So hivyo ni baadhi tu, lakin mengine inawezekana ikawa hardware pia ni tatizo, so unaweza ukacheki hivyo baadhi y’a vitu nilivyokuandikia, na kama unahitaji Msaada zaidi unaweza ukaniuliza tena.
 
Ram nafanyaje iwe na space mzeya

Punguza vitu ambavyo uvitumii kwenye pc yako, kama unatumia windows nENDA TASK MANAGER, kisha angalia apps ambazo uzitumii kwa muda uo kisha zifunge. Hapo ram itakuwa aitumik sana.

Kwenye extension za google chrome nENDA kwenye extension panel Punguza baadhi ambazo sio za muhim sana.
 
Msaada wa motherboard ya laptop (compaq)
JPEG_20220726_113255_4408339104001819214.jpg
 
PC KUGOMA KUWAKA

Pc yangu HP Elitebook 8460p ukibonyeza power button haiwaki kabisa lakini inaonesha kupokea umeme nikiconnect charger.

Nikitoa battery na kulirudisha ndipo inawaka yenyewe bila kupress power button. Tatizo ni nini?

Naomba msaada plz.
 
Hili tatizo ninalo pia. Tusuburi wataalamu
 
PC KUGOMA KUWAKA

Pc yangu HP Elitebook 8460p ukibonyeza power button haiwaki kabisa lakini inaonesha kupokea umeme nikiconnect charger.

Nikitoa battery na kulirudisha ndipo inawaka yenyewe bila kupress power button. Tatizo ni nini?

Naomba msaada plz.
Cc chief-mkwawa
 
Tatizo la video player (vlc,video player x nk) kuscratch ukiplay kwa full size msaada wakuu
 
Mimi pc yangu ni dell Ila nikiwasha screen haiwaki kabisa (no display ya kitu wala light yoyote kwenye screen ) mwanzoni ilikuwa na tatizo la Ram sasa limeongezeka na hili ,charger iko fresh na Moto Ile indicator ya charging system inaonesha inafyonza Moto /charge
 
Nina HP inazingua ukiikunjua inablink kama inawaka then inazima
Mwanzo ilianza inawaka masaa kadhaa, baadaye ikaja ikiwaka inakaa dakika kadhaa. Hivi sasa hata sekunde haiwezi

Nitatuma descriptions for further explanation
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
Mkuu me Disck Top computer nikichomeka USB cable nikakonnect sim haisomi bali inaniletea ujumbe kuwa
⚠️USB Device Not Recognazed
one of the USB device attached to this commputer has malfunction, and Window does not recognize it.
For assistance in solving this problem, click this message.

𝐍𝐢𝐭𝐚𝐥𝐢𝐬𝐨𝐥𝐯𝐞 𝐯𝐢𝐩 𝐦𝐤𝐮𝐮
 
PC yangu
Inagoma kufungua docs in word mpaka utumie option ya open with
Ni ikifungua hiyo doc huwezi edit chochote

Shida Iko wapi ?
 
Niko na shida moja kwa simu yangu samsung Note 10+, inashida ya kukapua kapua kila baada ya muda flani....naomba suluhisho
 
Back
Top Bottom