Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Zinauzwa issue ni kwamba sio common kama display, labda uagizishie onlineAsante, nipo Geita naweza pata msaada wa kuagiza nikakipata Geita?. Case huwa haziuzwi mpya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinauzwa issue ni kwamba sio common kama display, labda uagizishie onlineAsante, nipo Geita naweza pata msaada wa kuagiza nikakipata Geita?. Case huwa haziuzwi mpya?
Ram nafanyaje iwe na space mzeyaPunguza extension kwenye google chrome kwanza, kisha hakikisha Ram inakuwa na space ya kutosha Ili isaidie kuongeza speed, pamoja na HDD yako isiwe full sana.
Computer yako inachelewa sana kuwaka.. Baada ya kuweka password
Ram nafanyaje iwe na space mzeya
PC KUGOMA KUWAKA
Pc yangu HP Elitebook 8460p ukibonyeza power button haiwaki kabisa lakini inaonesha kupokea umeme nikiconnect charger.
Nikitoa battery na kulirudisha ndipo inawaka yenyewe bila kupress power button. Tatizo ni nini?
Naomba msaada plz.
Cc chief-mkwawaPC KUGOMA KUWAKA
Pc yangu HP Elitebook 8460p ukibonyeza power button haiwaki kabisa lakini inaonesha kupokea umeme nikiconnect charger.
Nikitoa battery na kulirudisha ndipo inawaka yenyewe bila kupress power button. Tatizo ni nini?
Naomba msaada plz.
jaribu ku update graphics maybeTatizo la video player (vlc,video player x nk) kuscratch ukiplay kwa full size msaada wakuu
Mkuu me Disck Top computer nikichomeka USB cable nikakonnect sim haisomi bali inaniletea ujumbe kuwaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Mkuu naweza pata wapi kioo cha hii monitor ni nchi 21(wide) kwa 30cm (length)Hizo nahisi unaweza ukazipata online mkuu.