warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu binti Ana akili nyingi sana za kuficha mahusiano yake, hata akidate na staa au mtu yeyote kutoka serikali, Ila huwezi kumkuta akijichekesha na kutaka kujulikana kuwa anatoka na staa flani, huo ndo upekee wa lulu na mastaa wengine wa bongo , Ana upeo mkubwa sana wa akili kulingana na umri wake.
Pia lulu ni Msiri sana , katika miaka ya kadhaa , aliwahi kudate na marehemu steven kanumba(rest in peace) , ambacho kipindi hicho kanumba alikua maarufu sana na kila mdada wa mjini alitaka kulala nae tu hili aonekane, Ila lulu alikua akidate na staa huyo kwa muda mrefu tu , Ila hakuwahi kujishaua mitandaoni kama ambavyo ingekua kwa mastaa wengine .
INTERVIEW , pia lulu amekua Makini sana kwenye interview anazofanyiwa, especially zile anazoulizwa kuhusiana na mahusiano, binti huyo amekua akijiamini na kujielezea kwa ufasaha hata kama anadanganya , na ilikua vigumu kuujua ukweli Kwan hata body language yake ilikua inaongea alichokimaanisha, in short lulu ni moja ya mastaa wenye communication skills nzuri sana linapokuja suala la interview. Tofauti na mastaa wengine wakiulizwa Maswali ya kutoka na mastaa flani hubaki kujichekesha na kujiuma uma na kutoa maelezo yasioleweka au kutaka kuaminisha watu kuwa ni kweli wanatoka na mastaa hao .
Lulu hapendagi wanaume MASHOROBARO kama baadhi ya wa dada wengi wa mujini wapendavyo, hata ukiangalia mahusiano yake ya nyuma utagundua, lulu anapenda GENTLEMEN, wanaume wanajiolewa na Maisha, muangalie marehemu KANUMBA, SECK na MAJIZZO, hapo utaelewa kuwa lulu she is woman and a half , she knows what she wants, hivyo majizzo hajakosea njia kwa lulu .
LULU amepitia maisha mengi ya ujanani, ameshafanya upuuzi wote kutokana umri aliokua nao, ameshakua na kampani za hovyo, mahusiano ya hovyo, Ila bahati nzuri aliwahi kujitambua, na dunia ikamfunza(kifo cha kanumba na jela), na yeye akaamua kubadilika, siku zote dunia inatulipa kutokana na tunavyostahili, Ila tukiamua kijifunza na kubadilika nayo hubadilika na kukupa unachostahili.
Lulu sasa amebadilika, anamcha Mungu , na amepata mchumba mwenye heshima, upendo na mafanikio, hivyo sisi kama jamii hatuna Budi kumpokea lulu mpya na kumuacha lulu wa zamani, lulu sasa hvi anaenda kuwa mke wa mtu .
MASTAA NA BAADHI YA WADADA WA MUJINI WANA MENGI SANA YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA LULU .
Maisha yake ni elimu tosha
WARUMI