Tatizo lulu Hana ulimbukeni na "MASTAA" kama wadada wengi wa mjini

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu binti Ana akili nyingi sana za kuficha mahusiano yake, hata akidate na staa au mtu yeyote kutoka serikali, Ila huwezi kumkuta akijichekesha na kutaka kujulikana kuwa anatoka na staa flani, huo ndo upekee wa lulu na mastaa wengine wa bongo , Ana upeo mkubwa sana wa akili kulingana na umri wake.

Pia lulu ni Msiri sana , katika miaka ya kadhaa , aliwahi kudate na marehemu steven kanumba(rest in peace) , ambacho kipindi hicho kanumba alikua maarufu sana na kila mdada wa mjini alitaka kulala nae tu hili aonekane, Ila lulu alikua akidate na staa huyo kwa muda mrefu tu , Ila hakuwahi kujishaua mitandaoni kama ambavyo ingekua kwa mastaa wengine .

INTERVIEW , pia lulu amekua Makini sana kwenye interview anazofanyiwa, especially zile anazoulizwa kuhusiana na mahusiano, binti huyo amekua akijiamini na kujielezea kwa ufasaha hata kama anadanganya , na ilikua vigumu kuujua ukweli Kwan hata body language yake ilikua inaongea alichokimaanisha, in short lulu ni moja ya mastaa wenye communication skills nzuri sana linapokuja suala la interview. Tofauti na mastaa wengine wakiulizwa Maswali ya kutoka na mastaa flani hubaki kujichekesha na kujiuma uma na kutoa maelezo yasioleweka au kutaka kuaminisha watu kuwa ni kweli wanatoka na mastaa hao .

Lulu hapendagi wanaume MASHOROBARO kama baadhi ya wa dada wengi wa mujini wapendavyo, hata ukiangalia mahusiano yake ya nyuma utagundua, lulu anapenda GENTLEMEN, wanaume wanajiolewa na Maisha, muangalie marehemu KANUMBA, SECK na MAJIZZO, hapo utaelewa kuwa lulu she is woman and a half , she knows what she wants, hivyo majizzo hajakosea njia kwa lulu .

LULU amepitia maisha mengi ya ujanani, ameshafanya upuuzi wote kutokana umri aliokua nao, ameshakua na kampani za hovyo, mahusiano ya hovyo, Ila bahati nzuri aliwahi kujitambua, na dunia ikamfunza(kifo cha kanumba na jela), na yeye akaamua kubadilika, siku zote dunia inatulipa kutokana na tunavyostahili, Ila tukiamua kijifunza na kubadilika nayo hubadilika na kukupa unachostahili.

Lulu sasa amebadilika, anamcha Mungu , na amepata mchumba mwenye heshima, upendo na mafanikio, hivyo sisi kama jamii hatuna Budi kumpokea lulu mpya na kumuacha lulu wa zamani, lulu sasa hvi anaenda kuwa mke wa mtu .

MASTAA NA BAADHI YA WADADA WA MUJINI WANA MENGI SANA YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA LULU .

Maisha yake ni elimu tosha

WARUMI
 
Sasa mkuu unategemea nini kwa mwanamke wa kimachame zaidi ya hayo uliyoyaeleza? Mwanamke wa kimachame weka mbali na watu aiseee
 
Huyo majizo ipo siku ataambiwa "nitakufanya kama kanumba...."
Naye atakuja ambiwa "usifikiri mimi ni kanumba nitaku........"
Kepteni komber naye alikuwa anapumzika kwa lulu duh! Halafu huyu ajizo akit..ewa atajarusha ngumi?!

UNAYAALIKA MAZONGE KIBWEGEBWEGE NA MABWEGE WENGINE WANAKUSIFU UBWEGE.

Tunasubiri ubuyu siku inakuja wala haitakawia.
 
Sasa mkuu unategemea nini kwa mwanamke wa kimachame zaidi ya hayo uliyoyaeleza? Mwanamke wa kimachame weka mbali na watu aiseee
Aisee wewe unaufahamu mkubwa toka kwa wamachame. Embu endelea kutiririka ili tupate faida wengi
 
Lulu anajielewa sana pia mjanja anajiongeze kielimu ingawa olevel alivuruga tofauti na wengi wanabweteka wakishapata umaarufu wanaridhika
 
Kwahiyo kakutuma uje kumsifia au? ila kiukweli Lulu yuko vizuri kichwani tofauti na wanaogombania jina la 'MmoyoMtamuWaTanzania' na toka atoke jela sijamsikia kabisa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kama vile bado yupo jela
 
Huyu binti "Lulu" anauelewa mkubwa na ufahamu mzuri wa kimaisha tofauti na masupaa staa wengi wa town waliomzidi umri hapo utagundua kuna muda umri unakua Namba tuu.
 
mimi nitakuwa mlinzi wa geitini ili bisazabina wasiingie bila kadi
 
Ukiharibu mara moja jitulize watu wasahau. Binti anaishi kwa style hii.

Naombea mumsifie hivyo hivyo hata siku akidaka nafasi ya Jokate msije lalamika.
 
We huwajui hao, wanaitwa wamachame mkuu
Waulize watu wa moshi wanawachukuliaje hao chamegalz!!
Hapo hakuna kitu
 
Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu binti Ana akili nyingi sana za kuficha mahusiano yake, hata akidate na staa au mtu yeyote kutoka serikali, Ila huwezi kumkuta akijichekesha na kutaka kujulikana kuwa anatoka na staa flani, huo ndo upekee wa lulu na mastaa wengine wa bongo , Ana upeo mkubwa sana wa akili kulingana na umri wake.

Pia lulu ni Msiri sana , katika miaka ya kadhaa , aliwahi kudate na marehemu steven kanumba(rest in peace) , ambacho kipindi hicho kanumba alikua maarufu sana na kila mdada wa mjini alitaka kulala nae tu hili aonekane, Ila lulu alikua akidate na staa huyo kwa muda mrefu tu , Ila hakuwahi kujishaua mitandaoni kama ambavyo ingekua kwa mastaa wengine .

INTERVIEW , pia lulu amekua Makini sana kwenye interview anazofanyiwa, especially zile anazoulizwa kuhusiana na mahusiano, binti huyo amekua akijiamini na kujielezea kwa ufasaha hata kama anadanganya , na ilikua vigumu kuujua ukweli Kwan hata body language yake ilikua inaongea alichokimaanisha, in short lulu ni moja ya mastaa wenye communication skills nzuri sana linapokuja suala la interview. Tofauti na mastaa wengine wakiulizwa Maswali ya kutoka na mastaa flani hubaki kujichekesha na kujiuma uma na kutoa maelezo yasioleweka au kutaka kuaminisha watu kuwa ni kweli wanatoka na mastaa hao .

Lulu hapendagi wanaume MASHOROBARO kama baadhi ya wa dada wengi wa mujini wapendavyo, hata ukiangalia mahusiano yake ya nyuma utagundua, lulu anapenda GENTLEMEN, wanaume wanajiolewa na Maisha, muangalie marehemu KANUMBA, SECK na MAJIZZO, hapo utaelewa kuwa lulu she is woman and a half , she knows what she wants, hivyo majizzo hajakosea njia kwa lulu .

LULU amepitia maisha mengi ya ujanani, ameshafanya upuuzi wote kutokana umri aliokua nao, ameshakua na kampani za hovyo, mahusiano ya hovyo, Ila bahati nzuri aliwahi kujitambua, na dunia ikamfunza(kifo cha kanumba na jela), na yeye akaamua kubadilika, siku zote dunia inatulipa kutokana na tunavyostahili, Ila tukiamua kijifunza na kubadilika nayo hubadilika na kukupa unachostahili.

Lulu sasa amebadilika, anamcha Mungu , na amepata mchumba mwenye heshima, upendo na mafanikio, hivyo sisi kama jamii hatuna Budi kumpokea lulu mpya na kumuacha lulu wa zamani, lulu sasa hvi anaenda kuwa mke wa mtu .

MASTAA NA BAADHI YA WADADA WA MUJINI WANA MENGI SANA YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA LULU .

Maisha yake ni elimu tosha

WARUMI
Mbona unamsifu sana wakat mtu mwenyewe hana hata chura!
 
Ila Majizo ana watoto wengi kweli.Lulu ameshajiandaa kulea kweli
 
Mwanamke akiwa msiri katika wapenzi wake ina maana wako wengi mkuu 😂😂😂😂 for your information
 
Uchambuzi wako una ukweli.
Nachompendea lulu ni uwezo wa kujieleza vzr
 
Back
Top Bottom