Tatizo malaria na tyford

Tatizo malaria na tyford

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,027
Reaction score
5,344
Habari wana JF! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa yote na wana JF kwa ujumla hususani uwanja huu wa JF Doctor. Nikienda kwenye mada ni kuwa mimi nina tatizo la kuumwa Malaria na Tyford sana. Na nikifanya matibabu napona kabisa hata nikifanya checkup tena sioni tatizo baada ya wiki tatu au nne. Lakini nikikaa miezi miwili au mitatu lazima nianze kujisikia homa na nikienda hospital kupima tena nakuta matatizo yaleyale. Tatizo hili limeanza toka mwaka 2009 mpaka sasa na imefikia hatua sasa mwili hauna nguvu. Kuhusu uzito ni kwamba nina kg 82 na nimedumu nazo zaidi ya mwaka sasa na urefu wangu ni mita 1.75 kwa hiyo Body Mass Index (BMI) yangu ni 26.77kg/m2 ambayo inasema nipo kwenye Marginally Overweight (MO). Naomba msaada wenu wana JF tatizo liko wapi na nifanye nini ili niweze kuishi kwa raha maana kiukweli sina raha hata kidogo kwakuwa dozi za tyford zimenichosha na mengineyo. Please Nisaidieni.
 
Tiba Mbadala ya Malaria Sugu na
Typhoid. ( Homa ya matumbo)

Katakata vitunguu saumu sawasawa. Meza kijiko kimoja cha vitunguu hivi mara tatu

kwa
Siku na pia kunywa lita 2 za limao glasi ya chai kwa siku. Endelea na tiba hii kwa siku 5 au

siku 7.Kisha uende Hospitali kupima utakuta huna tena Vijidudu vya Ugonjwa wa Malaria wa

Homa ya Matumbo (
Typhoid)

Kisha uje hapa utpe Feedback. chanzo.MziziMkavu

Upande wa malaria za mara kwa mara nilifuata ushauri wako wa vitunguu swaumu na malimao lakn wapi matokeo yake nlizidiwa nusu ya kufa
 
Siku na post hii issue nilikuwa naumwa sana tyford na malaria ila nilivyokuja dar siku inayofuata kuna ndugu yangu akanielekeza pia dawa moja hivi inauzwa na wapemba pale Kariakoo Sokoni kwa nje karibu na daladala za Mwenge zinaposimama inaitwa Madina ni ya mizizi na imechangwanywa na asali. Siamini mpaka sasa maana nilikunywa mara tatu tu nikawa mzima mpaka sasa na bado naitumia kwakweli. Kama ni hivyo hiyo dawa itakuwa nzuri sana maana mpaka sasa najihisi mzima sana na hata jinsi tumbo lilivyokuwa likinisumbua limeacha kabisa. THANKS GOD NA WANAJUKWAA. I will update here for any changes maybe this will be the best medicine that will help others.
 
duka linaitwaje maana pale maduka yamepangana siule mtaa wa swahili?
 
Back
Top Bottom