Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi nipo katika ile asilimia tano ya wanaume waaminifu waliobakia Dar. Juzi tu waifu alikuwa hayupo home kuna mdada alikuja na hafla nikamuona anavua nguo mbele yangu, alipomaliza nikamuokotea nguo zake nikamwambia asiludie tena siku ya pili mimi na waifu ni kama titanic vile, sitamani zaidi ya waifu. Alishangaa khaaa! . Hakyanani uaminifu ni kipaji, waifu ana bahati kweli kuolewa na mimi.
Hahahahahaa.....classic!