Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi nipo katika ile asilimia tano ya wanaume waaminifu waliobakia Dar. Juzi tu waifu alikuwa hayupo home kuna mdada alikuja na hafla nikamuona anavua nguo mbele yangu, alipomaliza nikamuokotea nguo zake nikamwambia asiludie tena siku ya pili mimi na waifu ni kama titanic vile, sitamani zaidi ya waifu. Alishangaa khaaa! . Hakyanani uaminifu ni kipaji, waifu ana bahati kweli kuolewa na mimi.
Kama mtu umeridhika na maisha
Kitu kama nyumba ndogo ni mambo ya kawaida tu..
Chamuhimu huyo mwanaume akupe utakacho zaidi ya hapo akupende .
....niwaulize waungwana,
Hivi, nikimfanyia mywife wangu vionjo "vya nyumba ndogo" itakuwa namkosea heshima?
Mfano, namchukua kazini kwake mida ya lunch (12h30) nampeleka gesti... Yes, guest house!
...saa nane (14h00) namrudisha...mwaonaje? :A S-coffee:

hii kali! kwa hiyo leo akikutoa umpishe, kesho utalala naye tena?
Mimi pia sidhani kama nitaweza, hiyo ni dharau kubwa. hapo najua kabisa kuwa kanichoka na hana haja nami tena ndo maana kaamua kunionyesha wazi. Mungu nisaidie yasinikute hayaHiyo story ni true, tena kesho yake aliambiwa aende akajifunze wenzie wanavyojua mapenzi so she went on watching! Baada ya hali kumzidia akamfuata balozi wa mtaa akaja kushuhudia. Jamaa alishtakiwa na kufungwa miaka 6. Alivyotoka akaomba msamaha na mkewe akansamehe nawaishi wote mpaka Leo!
Can you do that? I can't!
....niwaulize waungwana,
Hivi, nikimfanyia mywife wangu vionjo "vya nyumba ndogo" itakuwa namkosea heshima?
Mfano, namchukua kazini kwake mida ya lunch (12h30) nampeleka gesti... Yes, guest house!
...saa nane (14h00) namrudisha...mwaonaje? :A S-coffee:
Mimi pia sidhani kama nitaweza, hiyo ni dharau kubwa. hapo najua kabisa kuwa kanichoka na hana haja nami tena ndo maana kaamua kunionyesha wazi. Mungu nisaidie yasinikute haya
Kwa wake zetu wa sasa hivi ambao wengine ni Mawaziri, Manaibu waziri, CEOs etc,
Hiyo haiwezekani kamwe...May be kama umemwandalia surprise ya kitu kama Rav4, Benz, diamond etct...!!!!
I can assure you (guided by experience), you will be disappointed to the worst level ever!!
Labda kama umesahau...kwa wanawake waliokwenye ndoa...sex ni kitu cha ziada baada ya kumaliza mambo yake ya muhimu (including urembo urembo, watoto, kazi za ofisini etc.)!!....
Babu DC!!
babu DC naona umegeneralize sana hapa naomba kukusahihisha kidogo sio wanawake wote waliopo kwenye ndoa.
MJ1 et al,
Hii thread ilivyochangiwa imenifurahisha sana hata sijui nimechelewea wapi.
Jamani kwa dhama hizi kuna watu bado wanahangaika na kufatilia nyumba ndogo, sijui mipango ya kando mpaka leo?? (Hapo mimi hunipati kamwe) Uneless uniletee ndani ya nyumba lakini kama unafanyia huko na mie sioni yanini kujisumbua???
Kiukweli nimeona Nyamayao kasema kitu cha msingi hapa ni kuheshimiana full stop!!!! Hakuna kitu kingine yaani mimi wewe nenda tena kalale wiki nzima huko wala hata mshipa wa fahamu haunishituki kabisa.............
Kuna kitu kimoja huwa naamini kunyamaza ni silaha tosha kabisa ambayo mtu humfanya aonekane mwenye busara sana ...................wewe akipigiwa simu (na huo mpango wa kando) utajua style anayoongea jifanye wala husikii na wala hujishughulishi nae akikuaga sijui nakwenda kumuona fulani sijui nini sema nenda Baba nenda usijechelewa kumuona huyo mtu............anakwambia leo nitachelewa kurudi ha ha ha usijali fanyakazi ooohhhh nimesafiri ghafla kwenda morogoro nitarudi kesho sawa sawa hakuna shida home wote wazima kabisa....................uone kama ataendelea na huo mpango wa kando atashangaa mmmhhhh mbona huyu mtu hajali kuna nini hapa kumbe aaahhhh ushajichokea kuumia umeona ni kawaida tu ...............
Yanini kujipa vidonda vya tumbo bure mtu mzima unamchunga kawa ng'ombe huyo utamweza wapi?? Hiyo one minute unayompa tu imekula kwako..........he he he jamani ukubwa saa nyingine dawa..........fatilia mambo ya muhimu sio kufatilia eti kikojoleo kimekojoa wapi (by Asprin) achana nacho kitakojoa huko na kurudi vile vile hakijakwisha wala kubadirika chochote mweeehhh................ngoja niishie hapa nitarudi majukumu yanabana
Mimi pia sidhani kama nitaweza, hiyo ni dharau kubwa. hapo najua kabisa kuwa kanichoka na hana haja nami tena ndo maana kaamua kunionyesha wazi. Mungu nisaidie yasinikute haya
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Nona sasa na wewe umeongoka....
Karibu sana kwenye club ya wabeba mikongojo!!
Babu DC
....niwaulize waungwana,
Hivi, nikimfanyia mywife wangu vionjo "vya nyumba ndogo" itakuwa namkosea heshima?
Mfano, namchukua kazini kwake mida ya lunch (12h30) nampeleka gesti... Yes, guest house!
...saa nane (14h00) namrudisha...mwaonaje? :A S-coffee:
Kwa wake zetu wa sasa hivi ambao wengine ni Mawaziri, Manaibu waziri, CEOs etc,
Hiyo haiwezekani kamwe...May be kama umemwandalia surprise ya kitu kama Rav4, Benz, diamond etct...!!!!
I can assure you (guided by experience), you will be disappointed to the worst level ever!!
Labda kama umesahau...kwa wanawake wengi waliokwenye ndoa...sex ni kitu cha ziada baada ya kumaliza mambo yake ya muhimu (including urembo urembo, watoto, kazi za ofisini etc.)!!....
Babu DC!!
Hebu nijaribu kidogo kujibu....lol... Nikikosea of coz utanikosoa MJ1, Sababu zaweza kua zifuatazo....
- Umegundua there are a very few good men out there.... na ukimpata the one who is worth it, he respects you, loves you and takes care of you.... Unaposikia ana mwingine, you understand your fellow lady needs it too....
- Kwamba atleast unapopata taarifa ya nyumba ndogo washukuru atleast I know her.... for whether you like it or not probability ya yeye kuwepo ni kubwa whether to your knowlede or not.
- Ume mature.... Umejua unaposikia ana nyumba ndogo si kwamba anakukomoa, si kwamba hakupendi, na si kwamba you are less of what you were before... ila simply it is in most men's nature.
- You do not love him.... ila tu wamuhitaji katika maisha yako hivo whatever he does you do not give a damn!
- You are not selfish.... sharing is caring....:eyebrows:
BTW...It has been long dear..... Mzima wewe??