Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
@kongosho
Watu wengi; including me tunaseek refuge kwenye kazi pale sex life inapokuwa boring or routine! Lkn hao keria womeni unaowataja wakipata ka ofisi romansi huwa wanachanganyikiwa, too bad kama umri umeenda kwani wababa wanaofanya nao kazi, au wanaokuwa nao kwenye mawekishop macho yanawatoka kwa wahudumu na vibinti vidogo; so they end up more frustuated! Wengi wao huishia kwa madreva tu!
Naamini boss mwanamke ana uwezo na nafasi kubwa ya kuspare 45mns ya lunch time (l love that kind of adventure) na l am sure akirudi atakuwa more productive kuliko angekaa na kuhangaika na report. Ofcourse haiwezi kuwa daily thing hiyo!
Kitu kingine u should know; wengi wetu tunaishi kisanii zaidi (jinsi jamii inavyotaka tuishi) tofauti na wanaume. Mwanamke anategemewa asipende sana sex, while mwanaume is a plus akipenda sex!