Tatizo na Nyumba Ndogo...

100% agreed.
 

...haki ya nani vile natamani nisingejua mengi ya maishani, pheeewww,
Kuna kisa nilikisoma humu jf kuna bibi aliolewa si chini ya mara saba...na
kati ya hizo, mara tatu na mume huyo huyo mmoja...

Halafu, hizi Open Relationship nazo mnh...naona tuachie hapa, kama ule
mfano wa kiatu kinachobana, au kuvaa lapa la shoto mguu wa kulia, kila
mmoja ayatafsiri maisha yake vile aonavyo,...Maisha haya!:juggle:
 

...wajua weye u mvumilivu sana, sifa ambayo wake wengi wa kisasa hawanayo...
na uendelee hivyo hivyo bana, mw'mungu akuzidishie...

I have lived that experience ya kujaribu kumuelewa cheater, na hata mwenyewe
ku cheat "openly" aweze kuelewa maumivu yake, lakini sikio la kufa halisikii dawa...

If it's not worth, acha na mapema...delays prolongs the pain and reccuperation process.
 

Mbu naomba niseme nawe leo.......................sijakuelewa ulivyosema mtu anacheat responsibly sweetheart.
Cheating responsibly maana yake nini? kuwa unafall in love kwa mara ya pili kwa mtu mwingine au unacheat kujazia mapungufu ya nyumba kubwa??

Unless mnipe definition ya nyumba ndogo coz ninachanganyikiwa na
1. Having an intimate love relation na mwanamke/mume mwingine other than your spouse ambaye unamtreat kama spouse wako i.e. umempangia nyumba/amaishi kwenye nyumba yake lakini unatake responsibilities zote kama unavyofanya kwa mkeo/mumeo au
2. Kuwa na ocassional sex na mtu asiye mke/mume wako more than once without being responsible na maisha yake?
 
kwa maisha ya siku hizi ambapo kila mtu anatafuta opportunities popote zinakopatikana (shule, short-term kazi, etc) kila siku tutakuwa barabarani.............. leo baba anamfwata mama china, kesho mama anamfwata baba Sweden........ kaazi kweli
 
Asee swali zuri sana? Tatizo mida hii ni mida ya kukaa na wake zetu, ningekuwa nyumba ndogo ningeweza kukujibu!

Lakini responsibly maana yake ni kwamba yule aliye na rights zote hadhuriki kwa starehe zako.
Usitake maelezo na sefinition ya 'kudhurika'. Kama hujaelewa shaurilo!
 

Kwa maelezo yako nimekuelewa Babu mkubwa, katu sitauliza swali ingawa ninayo mengi.

Ninachotaka kukwambia ni kuwa kwa definition hiyo ndipo ninaposimamia mimi - cheating ni hulka ya binadamu, be it a man or woman, a husband or wife, cheating haiambukizi kama TB as long as unajitambua wewe na unaitambua thamani ya mwenzi wako but do not take into granted kuwa kwa kuwa mwenzangu ni mke akigundua she will have to agree na kusamehe au kwa kuwa ananipenda sana na haweziishi bila mimi hata akigundua hatakiwi kureact bali anatakiwa aelewe man's nature aisee ukikutana na mcharuko wenye akili ambao haujui biology ni nini wala mans nature ni mende wa aina gani aisee itakula kwako. Hizo man's nature sijui men are explorers or sijui they are kina Columbos and Vasco Da Gamas its men's inventions to justify what they want to do.

Unless mtuprovie beyong reasonable doubts kuwa sex drives na exploration intuitions between men and women ni tofauti na kuwa from now tuelewe kuna Human beings (men) an human women!!
 
Hahahahaha.....orait, sasa kama umeelewa, enenda kwa amani, na usimdhuru Mbu tena.

Neno la leo, cheating haiambukizi!
Ila mjikuu, nyumba ndogo ni hawara, je ukinunua au ukipiha zile za ...it neber happened, yani zilikuwa biya, hamu na zikakutana na right place.....hii ni cheating lakini sio nyumba ndogo! Please note that.
 

....:A S embarassed: Pheeeewww, asante kamanda, ningejikamatisha sasa hivi...
 


Mbu haweziumizwa Babu and you know that lol

Hapo kwenye tofauti, ......tumekutana mazingira yakakruhusu ni cheating????? nyumba ndogo si cheating dah! Mjukuu somo hili maji yamezidi unga Babu nisamehe tu! Nitayarishie fimbo nitakubali kula mbata hadi nielewe hizi hesabu za Pai = 22/7 or 3.14......................
 
Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!

Mjanja mjanja huyu!!
 
....:A S embarassed: Pheeeewww, asante kamanda, ningejikamatisha sasa hivi...
Haha you ,ake my heart smile darling..........jinsi unavyokinga mabawa yako!!
 
Reactions: Mbu
Haumkosei heshima bana tena inanoga kichizi, hebu siku moja jaribu na hii, mpigie simu waifu wako halaf anza kumtongoza kama haumjui vile uone utamu wake. Yaani muulize mpaka jina lake anaitwa nani. Kuna mizaha mizaha mingi bana inanogesha ndoa lakini mijitu kila wakati inataka kuwa serious kama jet lii.
 
Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!

Mjanja mjanja huyu!!
Hahahahahah Babu Bigi bana........kwe;i umekula maginia ya chumvi. Mi nataka kujua tu kwa sababu kama mtu ambaye amekuwa na one-night stand na mume wa mtu naye anaingia kwenye group ya nyumba ndogo au la na kama haingii anagroupiwa wapi kwa sababu nielewavyo mie cheating is a cheating as long as umetoka nje ya ndoa na kwa uelewa wangu ukitoka nje mara moja au ukiwa na mwenzi wa muda ambaye si mkeo/mumeo zote ni cheating!
 

....hahahahaha! Wewe kweli umedata!
 
Mkuu huyu binti very trick na haya mambo haya.......sasa anaanza kuchanganya nyumba ndogo na cheating. Hivi havichangamani kabisa!

Mjanja mjanja huyu!!

Umeona ee? Yaani usinge dive na hiyo goal-line clearance mbu ningemwaga A-Z hapa...
mwj1 alinivisha kitanzi nami nikadhani ni tai ndefu....pheeewww....
 
Umeona ee? Yaani usinge dive na hiyo goal-line clearance mbu ningemwaga A-Z hapa...
mwj1 alinivisha kitanzi nami nikadhani ni tai ndefu....pheeewww....
Mbu!.......................................................
 
Reactions: Mbu
Sasa mjukuu, nyumba ndogo=hawara ni technically mke lakini kwa sababu ya kingo za kijamii, hawezi kuhalalisha!

Au kwa kujificha kwake ndo anakopata. Raha zake za kisheitwani....sasa hao wa kisheitwan hao huweza kuwaweka kwenye kundi lolote!!

Im outa here!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…