Asee swali zuri sana? Tatizo mida hii ni mida ya kukaa na wake zetu, ningekuwa nyumba ndogo ningeweza kukujibu!
Lakini responsibly maana yake ni kwamba yule aliye na rights zote hadhuriki kwa starehe zako.
Usitake maelezo na sefinition ya 'kudhurika'. Kama hujaelewa shaurilo!
Kwa maelezo yako nimekuelewa Babu mkubwa, katu sitauliza swali ingawa ninayo mengi.
Ninachotaka kukwambia ni kuwa kwa definition hiyo ndipo ninaposimamia mimi - cheating ni hulka ya binadamu, be it a man or woman, a husband or wife, cheating haiambukizi kama TB as long as unajitambua wewe na unaitambua thamani ya mwenzi wako but do not take into granted kuwa kwa kuwa mwenzangu ni mke akigundua she will have to agree na kusamehe au kwa kuwa ananipenda sana na haweziishi bila mimi hata akigundua hatakiwi kureact bali anatakiwa aelewe man's nature aisee ukikutana na mcharuko wenye akili ambao haujui biology ni nini wala mans nature ni mende wa aina gani aisee itakula kwako. Hizo man's nature sijui men are explorers or sijui they are kina Columbos and Vasco Da Gamas its men's inventions to justify what they want to do.
Unless mtuprovie beyong reasonable doubts kuwa sex drives na exploration intuitions between men and women ni tofauti na kuwa from now tuelewe kuna Human beings (men) an human women!!