MJ1, kama unampenda mume wako na mnaaminiana you can't live your life thinking of him as a cheater. You just wouldn't enjoy being with him sababu utakua na wasiwasi kila wakati, kazi ya kutafuta ushahidi wa his loyalty/cheating. Hayo sio mapenzi tena.
Ukiwa mke wa mtu au partner wake kimapenzi it is a contract na unaamini kua he respects the terms of the contract.
Ni sawa kabisa kusema kua ukiona amedabilika utaanza kujichunguza mwenyewe na kumchunguza mazingira yake ya kazi, ya kiuchumi, na mengine yanayo waaffect binadamu katika maisha. Because you trust him and believe in his faithfulness huwezi kuanza kufikiria nyumba ndogo. that is normal.
Ila usikae ukisema kua 'if he has one sitaki kujua, so long as he doesn't change kwangu'. hii ni hatari sana kwa afya yako (thanks NN for underlining this POTENTIALLY LETHAL danger), but pia kwa ndoa yako. Msingi wa ndoa ni trust and love. sasa ikiwa amevunja trust, na amegawa love, what is left for you?
At the same time siwezi kusema kua mtazamo wangu ndio valid na wako sio... this is valid to me and my husband, as per the terms of our contracts which we discussed kufatana na expectations zetu katika mahusiano yetu. You are free to define your own contract... Na kama umeamua kua on the Nyumba ndogo side just make sure you know the reasons he is with you, and you know what to expect from him (maximum, minimum).