Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Bata ukimchunguza sana hutakula kamwe nyama yake. Hii inatokana na kuchamba kwingi kwa serikali. Tumuachie Balozi Siwa na vijana wake kwanza waongee ili tuupime ujio na utendaji wa wateule wapya.Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu?
Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji?
Kwanini kuanzia sasa uteuzi usiambatane na taarifa iliyopelekea kupendekezwa kwa muhusika? Au labda tuendelee kusikiliza sababu za tenguz wakati wa kuapisha? Zina ukweli?
Huyo engineer wa TTCL Ni MTU wa SUMBAWANGA au KIBIRIZI Kigoma? Au yuko karibu na wajomba wa Kwamsisi?Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji?
Mkuu inawezekana kabisa🤣🤣🤣🤣