- Thread starter
- #41
Nafikiri huenda utakua umepata Mawazo mapyaAkilinyingi mumeo? Mtafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri huenda utakua umepata Mawazo mapyaAkilinyingi mumeo? Mtafute
Mpaka kufikia Leo uwezekano ni mdogo sanaLakini tutawakamata Simba tu huko juu. Huwa wanatangulia hadi pointi nane lakini tunawashika! Hata mwaka huu tutawapita tuu kama kawaida
Haupo kabisaMpaka kufikia Leo uwezekano ni mdogo sana
I stand by what I said.Nafikiri huenda utakua umepata Mawazo mapya
That because of being into confederation group stages marks the successful leadership of Mr sanga, and the stage involves provision of a huge amount money as a bonus.Therefore Mr. Akilimali and his allies are pushing election agenda so as they can confiscate the money?.I stand by what I said.
Tuwe wavumilivu huu msimu tumeshaharibuHaupo kabisa
Maombi yetu yote yapo kwa vijana wetu. Tutawasapoti kwa kila haliMungu tuepushe na fedheha ya leo, huu ujinga ambao uongozi unachotufanyia ipo siku tu.
My friend, what Yanga is experiencing is what was happening to Simba before Mo came in. We are simply missing the financial muscle from Manji.That because of being into confederation group stages marks the successful leadership of Mr sanga, and the stage involves provision of a huge amount money as a bonus.Therefore Mr. Akilimali and his allies are pushing election agenda so as they can confiscate the money?.
My advice!
Brother you need to graduate from that type of reasoning. Our team is under bad supervision ever experienced within past 7years.
Una maanisha Kilimanjaro?Umesahau na ile bia yetu pendwa inatoa pesa kuliko Hata zile za caf
Yule wa sport pesa?kwani yule Abbas Tarimba ana tatizo gani ingawa namuona mjanjamjanja wa mjini hivi!
ndioYule wa sport pesa?
Ni mpaka achukue fomundio
Kifupi ungozi mbovu tunahitaji viongozi wenye maono chanya na watekelezaji.
Maombi yetu yote yapo kwa vijana wetu. Tutawasapoti kwa kila hali