Tatizo ni bodi ya mikopo inayoendesha shughuri zake kama kikosi cha kufyatua mizinga. no utaratibu. kila mmoja pale bodi anajoina bosi,kila mmoja anatoa utaratibu wake. mimi wamezilamba hela zangu za research nawavutia muda nimfikishe executive director mahakamani. dai haki yako usiombe, sijasema muandamane, wa taarifa za kiintellejensia watawa-songea