Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Huyu mwenye PhD ambaye hadi leo anaishi kwenye vyumba vya kupanga ni kilaza wa kufa mtu. Mimi mwenyewe pamoja na kuishia Form Six lakini napangisha watu tena kwenye mikoa minne mikubwa.
mmmh ni wapi huko si mseme?mijitu mingine hovyo kweli, yaani bosi wangu ni mtu wa pande hizohizo, anataka eti tuwe tunampokea begi lake, mi huwa simpokei wala nini, basi amenichukia kwelikweli.
Huyu mwenye PhD ambaye hadi leo anaishi kwenye vyumba vya kupanga ni kilaza wa kufa mtu. Mimi mwenyewe pamoja na kuishia Form Six lakini napangisha watu tena kwenye mikoa minne mikubwa.
We ni dalali?
Huyu jirani yangu msomi mwenye PhD tunaishi naye nyumba ya kupanga. Ni mkorofi sana, anatumia air condition, lakini likija swala la kulipia luku hataki kabisa kuchangia.
yeye ni mtu wa mkoa wa ziwa magharibi uliopo kaskazini magharibi mwa nchi yetu.
Sielewi matatizo yake ya u machi noo yanasababishwa na elimu yake au ni kabila?
mkuu we ni nomaMi naona tatizo hapo ni air kondishen..bila ivyo yasingetokea yote ayo.
Na ndo maana hadi leo hana kwake na PHD yake...hovyoooooooooo!Si chochote kati ya hivyo viwili, ni tabia yake binafsi mbofumbofu tu!
Sisi wenyewe kuna jirani ye2 awamu ya kwanza ya jk alikuwa mbunge na waziri mdogo awamu ihi kapigwa chini na mbunge wa nccr.yeye kuanzia ndani kwake si watoto wala house boy au gal wote kawapa amri wanamwita MHESHIWA shikamoo,kunamgeni au karibu chakula
Mi naona tatizo hapo ni air kondishen..bila ivyo yasingetokea yote ayo.