Tatizo ni maagizo, short of that the man is free as of today

Unajua maana ya overt action?
Kumbe mtu anaweza kupanga njama peke yake
Usikute una degree wewe? Maajabu hayaishi duniani
Degree ya kukopi assignment na presentation uchwara
 
Lete maana, acha blah blah msomi wa havard
Unatia aibu. Kujadili viti ambavyo vipo nje ya uwezo wako. Ili tu ionekane chadema ni wabaya na wanastahili kuwawa ikiwezekana hata Sasa..wamemaliza chadema Sasa wapo hapo lumumba walianza na polepole akaja nhchimbi jiandae
 
Bahati mbaya kwako, sipo lumumba Mimi ewe nyumbu.....ila nipo against minyumbu kwelikweli
 
Bahati mbaya kwako, sipo lumumba Mimi ewe nyumbu.....ila nipo against minyumbu kwelikweli
Ndo maana ml 20 za heche zinawafanya mpaka mnawatumia mashekhe ubwabwa kina mwaipopo lakini matrilion ya CAG yanayo ripotiwa Kila mwaka mnaona ni sawa kabisa.
Yani unatoa ushuzi kwa pesa ya tone tone tone ambayo watu wamechanga kwa hiari Yao. Unaacha kutoa ushuzi huohuo kwa matrilion ya pesa ya walipa kodi?
Hapo nani anastahili kuitwa nyumbu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…