Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika.
Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji havina maji, barabara ni mbovu, shule hazina madawati. Mnategemea tuweze kulipa kodi ya uzalendo kirahisi?
Mnaanzisha vyanzo vya mapato bila kufanya tathimini.