Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mwendazake alitumia pesa zetu kuliipia wasiojulikana na kununulia wapinzani. Hadi leo Hazina ni nyeupe ndio maana wanahahaKodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika...
Unamaanisha nini?Pesa zinatumika kujenga sanamu za mwendazake.
Taratiibu najua akili zitarejea kwenye reli,na tutafanya yatupasayo kwa njia iliyokuwa bora.Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika...
Tukiwa bado na pigo la ajira serikalini imeona utupige tena.Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika...
1.Na ndio baadhi ya matumizi mabaya,kuongeza idadi ya mikoa kiholela haituongezie maendeleo ni kuongeza upigaji tu.Ukubwa wa Serikali unapelekea Matumizi Makubwa ya Fedha ambazo ni Kodi za Masikini
Ma-DC 120
Ma-Das 120
Ma-Ded 200
Ma-Ras 26
Ma-RC 26
Wabunge 400
Mawaziri na Manaibu
Makatibu Wakuu na manaibu
Wote hawa Magari ya Gharama ,Posho,Mishahara wabunge ni kufuru mishahara yao
Wote hawa wanapewa mafuta bure kwenye ma v8 yao ya kupelekea shule watoto wao yanayotafuna kodi zetu,bado services za magari hayo.Ukubwa wa Serikali unapelekea Matumizi Makubwa ya Fedha ambazo ni Kodi za Masikini
Ma-DC 120
Ma-Das 120
Ma-Ded 200
Ma-Ras 26
Ma-RC 26
Wabunge 400
Mawaziri na Manaibu
Makatibu Wakuu na manaibu
Wote hawa Magari ya Gharama ,Posho,Mishahara wabunge ni kufuru mishahara yao
You have nailed it man, tatizo hawa wanatumia kodi zetu kwa maslahi yao, hovyo hovyo mpaka zaonekana ndogo kumbe hawajipangi wala kupanga matumizi yake, tumewachoka kabisaKodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika.
Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji havina maji, barabara ni mbovu, shule hazina madawati. Mnategemea tuweze kulipa kodi ya uzalendo kirahisi?
Mnaanzisha vyanzo vya mapato bila kufanya tathimini.
We si unateteaga ccmKodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali.
Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika.
Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji havina maji, barabara ni mbovu, shule hazina madawati. Mnategemea tuweze kulipa kodi ya uzalendo kirahisi?
Mnaanzisha vyanzo vya mapato bila kufanya tathimini.
Haya ndio matatizo ya wabongo.We si unateteaga ccm