Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Duh[emoji3][emoji3] ila mijusi inatofautiana mkuu, kuna mizurii mingine inatisha.Ndio mkuu pia kuna wadada wanaogopaga wale mijusi wa ndani (mjusi kafiri) ila dudu ya inchi saba hawaogopi.
Aah sindano naogopa hata ile ya kuchomwa mkononi ya malaria, lazima nisumbuane na doctor huku nikivuta mdomo aargh zinauma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah,mambo ya kutoboana ngozi siyo kabisa, kuna doctor alinisema huyoo "wewe ni mwanamke, Kuna sindano za kutosha siku ukija kuwa mjamzito blah blah acha kujiendekeza"aarg niliona tu ananivuruga na ugonjwa wangu[emoji3][emoji3]Mie nilishaghairi mara kadhaa kupima vipimo vinavyohusisha kutoana damu,sindano inaogopesha kweli
[emoji23] unazingua jamaaAah sindano naogopa hata ile ya kuchomwa mkononi ya malaria, lazima nisumbuane na doctor huku nikivuta mdomo aargh zinauma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa Trypanophobia [emoji23][emoji23]
Ni kama watu wanaoogopa urefu wa gorofa kuangalia chini
Ni phobia wala usimshangae
Sent from my iPhone using Tapatalk