Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Nilienda kumsalimia ndugu yangu huko hospitalini ila katika pitapita zangu huko nikaona kuna mtu mzima msumbufu balaa anaogopa kuvutwa damu kwa sindano ili wampime anaumwa ugonjwa upi, Nimesikitika na kucheka kwa wakati moja.
HIVI BADO KUNA WATU WAZIMA WANAOGOPA SINDANO?