ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kuna mwanafunzi wa chuo aliomba pesa nyumbani kwao akanunue nguo alichojibiwa ni kwamba semester iliyopita alipewa hela ya nguo semester hii hawampi.
Nachokiona Mimi tunakosea kununua nguo nyingi halafu za ovyo mfano hizi za mtumba uki zivaa baada ya muda zinapauka unazichoka huzivai Tena na kuzigawa hutaki unaishi na masanduku kibao ya nguo..
Ni heri ukawa kila miezi mitatu unafanya shopping nguo nzuri hata kama za laki mbili tu ila zile classic ambazo Inakuwa rahisi hata kuzitunza .maana mahitaji ya binadamu ya msingi ukitoa chakula pia mavazi ni ya kuzingatia.