tatizo ni ushawishi mkubwa wa kina kaka au uwezo mdogo wa kina dada kufanya maamuzi??

tatizo ni ushawishi mkubwa wa kina kaka au uwezo mdogo wa kina dada kufanya maamuzi??

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
wana JF nawasalimu ktk jina la Allah!
Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi Fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kang'ang'ania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!

don take it personal, ni mtazamo tu!
 
Back
Top Bottom