Tatizo ni uzinzi au ulevi?

Tatizo ni uzinzi au ulevi?

nathani wanawake,pombe zinasingiziwa sana jamani!!
 
Karibuni Ocenic Resort mtanikuta mwenyeji wenu. Nitafurahi sana kujumuika nanyi
Utakuwa maeneo gani? Tafazali yule kaunta usinigusie, kuna maslahi binafsi pale....... We ntakuachia Eva kama unataka.....
 
Nazjaz huko kwenu mnaishi mahayawani watupu? Wewe, mabwana zako na majirani zako pia, wote ni lukumbalukumba
 
Uzinzi na ulevi vyote vyatoka kwa muovu shetani, tumuombe sana Mungu ili tuweze kuushinda ulimwengu huu na vyote vilivyomo
 
Back
Top Bottom