Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Ulevi nomaaaaaaa!!
Utakuwa maeneo gani? Tafazali yule kaunta usinigusie, kuna maslahi binafsi pale....... We ntakuachia Eva kama unataka.....Karibuni Ocenic Resort mtanikuta mwenyeji wenu. Nitafurahi sana kujumuika nanyi
nathani wanawake,pombe zinasingiziwa sana jamani!!