Jamani morning humu ndani?? Nimepewa dozi na hubby weekend ikawa fup, ndio haswa nanawa uso nje nawasikia majirani wakiongelea huu mswada mpya, kulikoni sweetlady? jamani imekuaje tena na Vin Diesel? hubby wangu mi luv u, lol!
Napata shida sana kuelewa mie....kama hakuwa na mpango wa kuishi nami siku zote kwanini anitongoze na kunifanya nimuamini?
Kama alijua ana ndoa kwa nini aje kunitongoza?
Khaa! Najua wewe ni kakangu but haina maana ndio nikutetee... Sio wewe ulikuwa wamlilia akukubali na bila hiana nae akakubali... kipingi hicho mlikuwa mkipiganiana na Klorokwini sijuie Cookie (yaani hata simwelewi SL), Huyu Nitonye ni breaking news kwangu... lol
Nitonye mwenyewe sijui kakimbilia wapi.
Jamani morning humu ndani?? Nimepewa dozi na hubby weekend ikawa fup, ndio haswa nanawa uso nje nawasikia majirani wakiongelea huu mswada mpya, kulikoni sweetlady? jamani imekuaje tena na Vin Diesel? hubby wangu mi luv u, lol!
hahaha! Mie naona hata Nitonye anaweza kuwa sio wa SL, huyu wifi yagu kuna kitu hawa kaka zangu wanakosea... Bora tu kama ni hivo arudi kwa Cookie... hahaha, Labda King'asti anaweza saidia hili... lol.
wewe BW unapenda awe na nani? Klorokwini/Nitonye/Vin diesel ama Cookie? (mana wote hao kisha wahi olewa nao...
Khaa! Najua wewe ni kakangu but haina maana ndio nikutetee... Sio wewe ulikuwa wamlilia akukubali na bila hiana nae akakubali... kipingi hicho mlikuwa mkipiganiana na Klorokwini sijuie Cookie (yaani hata simwelewi SL), Huyu Nitonye ni breaking news kwangu... lol
nawe ulipojua anandoa kwa nini ulikubali
Amini nakuambia sis....huyu sweetlady ndio alikuja kwangu akamwaga maneno yake matamu matamu mpaka nikaona kama mke si ndo huyu...kumbeeee
Ndahani ujue mambo haya hufanyika ndani ya kuta nne, japo si lazma sana, ila siku hizi vimbadala vipo vingi tu, wanaweza kujihudumia tena kwa nyakati tofauti, siku hizi ukipiga muayo, unajitakia, lol!Na wale waliokuwa wanapiga miayo kwa kukosa dozi kabisa inakuwaje cacico? hata kuomba msaada tutani haiwezekani.
shemeji kwani imekuaje tena? umefumaniwa?? jamvi lilivyo kubwa na pana, umefumaniwajeeeeee???? pole lakini, itabidi nimtafute dadangu sweetlady anijuze kulikoni na hii issue!Bora uje maana kuna binti aana mahangaiko sana humu ndani...hatulii na mwanaume mmoja....:high5:
Duh' kumbe wewe adui yangu katika kumpata wifi yangu eeh? lol
shemeji kwani imekuaje tena? umefumaniwa?? jamvi lilivyo kubwa na pana, umefumaniwajeeeeee???? pole lakini, itabidi nimtafute dadangu sweetlady anijuze kulikoni na hii issue!