Tatizo ni wewe Vin Diesel

Duh' kumbe wewe adui yangu katika kumpata wifi yangu eeh? lol

Nawewe ndio nini unaharibu badala ya kubembeleza unampaka! Mie huyo wifi yangu namtaka... Ukishindwa kum convince arudi nyumbani patakuwa padogo am telling you!

nitajitahidi sisy wangu....wala ngangamala mtoto wa kiume....
 
Wifi, huyu mke mwenza asipowekewa mstari kama daladala za mbagala sijui kama tutamuweza :yo:. Sijui kwa nini hajifunzi kwetu.
ngoja nimpikie lunch kakako manake nisije nikajiponza mie :bounce:
 
Wifi, huyu mke mwenza asipowekewa mstari kama daladala za mbagala sijui kama tutamuweza :yo:. Sijui kwa nini hajifunzi kwetu.
ngoja nimpikie lunch kakako manake nisije nikajiponza mie :bounce:

Hapa dawa ni kuenda chemba... Napita huko nibakishie lunch na mimi... lol
 
Wifi, huyu mke mwenza asipowekewa mstari kama daladala za mbagala sijui kama tutamuweza :yo:. Sijui kwa nini hajifunzi kwetu.
ngoja nimpikie lunch kakako manake nisije nikajiponza mie :bounce:

ameshajifunza kaweka mstari wa red ubavuni nitonye chata
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa umeniacha hoi sweetlady wallaih kwa pambio hilo nitts lazma arudi mwenyeweee bila hata wapambe. Ila kiukweli inaniuma sana kumpa za uso Vin Diesel daaah ngoja nimtafutie mwingine...lol
 
Hajanipa za uso wala nini...pepo tu limemkamata...kwa maombi atafunguliwa na kurudia fahamu zake....hebu fanya mchakato nipate mchumba mwenye vigezo vya kimataifa Yummy...
 
Last edited by a moderator:
Ndahani ujue mambo haya hufanyika ndani ya kuta nne, japo si lazma sana, ila siku hizi vimbadala vipo vingi tu, wanaweza kujihudumia tena kwa nyakati tofauti, siku hizi ukipiga muayo, unajitakia, lol!

Haaahaaaa! Ngoja nikapate lunch miye...kumbe njia mbadala ziko mingi???
 
Heheheeeeee huyu tajiri aliyeibuka hana lolote mbwembwe tu coz kazidiwa nguvu na ruttashobolwa kwenye jukumu la kumchukua Madame B
Sasa Mamndenyi nimeomba tubadilishane...inakuwaje kukwepa ombi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa umeniacha hoi sweetlady wallaih kwa pambio hilo nitts lazma arudi mwenyeweee bila hata wapambe. Ila kiukweli inaniuma sana kumpa za uso Vin Diesel daaah ngoja nimtafutie mwingine...lol

Asharudi zamani Yummy lol..... Mtafutie tu manake hapo alipo atakuwa ana majonzi sana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…