Na wewe BW, umezidi kuvisema mno vinywaji vya wenzio...kwani viroba vina shida gani jamani!hahahahah akachanganya na viroba......
Bora vya Ngarenaro, unajua pale kuna msikiti, wanamwogopa Mola...
Nadhani huyu anatumia vya Ngaleloo, jirani na uwanja wa cdm wa NMC palikojengwa mabanda ya mama ntilie!
Na wewe BW, umezidi kuvisema mno vinywaji vya wenzio...kwani viroba vina shida gani jamani!
Wewe mwenyewe unaanza na Castle light unamaliziaga na Kiroba!
Amini usiamini, wanywa bia wote lazima wamgeuze samaki kwa kunywa kiroba!
life without problems never make a strong and good person!
Wifi utanikuta nje ya geti nakusubiri lol
Usiku nataka tukale dinner pale Kempisk
uvae kile kiatu cha mchuchumio alichokununulia Vin Diesel