Na wewe BW, umezidi kuvisema mno vinywaji vya wenzio...kwani viroba vina shida gani jamani!
Wewe mwenyewe unaanza na Castle light unamaliziaga na Kiroba!
Amini usiamini, wanywa bia wote lazima wamgeuze samaki kwa kunywa kiroba!
Wewe tena darling wifi??? Khofu ondoa kabisa....tutakuchukua ule uondoke......sie nadhani tutalala hapo usiku wa leo!
asante my lovely wifi....... hapo kwenye red Vin Diesel upo
Blaki Womani Achana nae sweetlady hana issue
Njoo nae switii. Huyo anayekunywa viroba tunamzima halafu tunaendelea na mambo yetu! lol...
Toa mwongozo basi!
Pale pale pa siku ile! Ila safari hii tunakaa pamoja!
Safi kabisa......tutatangulia na Blaki Womani!