Tatizo ni wewe Vin Diesel

kurudi sumbawanga kibabu hakipo ndio hali unaona
sasa kama tumeanza kulogana wenyewe kwa wenyewe humu ndani, mbona kazi jamani?? na hubby wetu hatumuoni jamani, jamani, hayeniiiiiii! aliyenaye bora ajisalimishe sijeshtukia kwapa limegeuka na matobo ka sega la asali! haya mie sina mengi @Blaki Woman
 
Vin Diesel hajui kutoa singo ikabidi atumie njia mbadala kumpa sweetlady sasa yamekwisha amerudi kwa hubby wake
 
Last edited by a moderator:
sasa kama tumeanza kulogana wenyewe kwa wenyewe humu ndani, mbona kazi jamani?? na hubby wetu hatumuoni jamani, jamani, hayeniiiiiii! aliyenaye bora ajisalimishe sijeshtukia kwapa limegeuka na matobo ka sega la asali! haya mie sina mengi @Blaki Woman

Nipeni hela niwajuze aliyenae .
 
Aisiiii......kumbe upo!

Yupo sana sema kaishiwa bando na hela siku hizi zinampiga chenga......chezeiya kuishiwa weye?? Bishanga makelele yote kwishnei!......kawa mpoleeeeeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…