Hehehehe! Mbavu zangu mie khaaa! Unachekesha ! Pole weye manake ulichoandika hapa hata moyo wako unajua kabisa kuwa sio kweli. Nakusamehe vile nayajua maneno ya mkosaji! Kuna wanaume wa kutongozwa dia ila wewe haupo kwenye hao wanaume! Hii sredi imefungwa kwa hisani ya
Paw !
Tuache na my hubby
nitonye tujipumzikie kwa raha zetu!