Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa.

Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
 
Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ys kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
Hata mm nina cku ya pili no star tv! Hadi mida hii nimeamua kuangalia tuu channel ten ! Sina namna.
 
Za chini ya kapeti ni kuwa vyombo vingi vya habari vinapumulia mashine, Hakuna matangazo ambazo wengi ndio hutegemea ili kuendesha kampuni. Ndio maana mnaona vyombo vya habari wanachezesha kamali na kupunguza wafanyakazi. Kutopatikana mikoa mingi ni kuwa wanashindwa kulipia Minara ya kila mkoa.
 
Aiseee inasikitisha sana,Sipati starTv tangia Jumamosi ,nilitaka kuweka Tuongee asubuhi ikabuma,usiku nikataka niweke MS Chief Odemba napo olaa ,leo nataka niweke BBC hola nataka niangalie The Big Agenda napo olaa!
 
Za chini ya kapeti ni kuwa vyombo vingi vya habari vinapumulia mashine, Hakuna matangazo ambazo wengi ndio hutegemea ili kuendesha kampuni. Ndio maana mnaona vyombo vya habari wanachezesha kamali na kupunguza wafanyakazi. Kutopatikana mikoa mingi ni kuwa wanashindwa kulipia Minara ya kila mkoa.
Vife kabisaaaa,vimechelewa sana.
 
Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa.

Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
Tunamiss Dira ya Dunia
 
MKUU DIAMOND HUYO NA WASAFI YETU NDO AMEHUSIKA,MAANA SIKU HIZI KILA TUHUMA ANAPEWA YEYE
3010096_FB_IMG_16375660273730104.jpg

Kituko cha kufungia mwaka.
 
Diallo wa Star tv alidhani chanzo cha matatizo yake ni Magufuli, leo hayupo lakini bado Star tv inapumulia mashine
 
Noma ndiyo maana nimeshangaa ghafla siioni Clouds Plus kwenye king'amuzi cha DSTV..
 
Back
Top Bottom