ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa.
Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo.
Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote.
Leo wanasema Yanga tunahusika wakati wanachama wa Simba ndo walimchagua Mangungu.
Proganda nyingi hapo zimefanyika hapo Simba mashabiki mbumbumbu wakakataa kuzimekemea na tuliwaasa, mfano.
Mlete mdhungu, huyo mzungu alikuwa anakimbia kama ametoka kutahiriwa
Kushangilia kibegi, eti kilifunika siku ya mwananchi, wao mbumbumbu walipeleka kibegi wananchi tukapeleka kombe kileleni.
Mafanikio ya WhatsApp group, yani mashabiki wanajivunia eti team kuwa na group la Whatsapp ni mafanikio
.
Mpaka saiv Bado hawajatambua kuwa adui wa Simba ni Mo. Sasa kwakuwa nyinyi ni mbumbumbu hatuwambii muandame Mangungu atoke ili tuwapige 8