Tatizo Rav 4 kilitime

Mkuu nami gari yangu nikiwasha taa full taa zote zinazima. Tatizo laweza kuwa nini

gari gan na unawashaje taa zako.,, kwa kawaida hyo switch yako unatakiwa uzungushe mara mbili, 1 ni kwa ajili ya taa za parking,, 2 ni kwa ajili ya taa kubwa,,bila shaka switch yako itakuwa na mizunguko 3,,na huo mzunguko wa tatu ukiwasha ndio taa zote zinazima ?.,,, je ndivyo ilivyo kwa gari yako?
 

Mrejesho

Jana nilipeleka gari kwa fundi, na alisema shida ilikua ni the way alarm imefungwa kuna waya na zilikuwa zimekosewa kufungwa

Ila kwa sasa liko poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…