Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nami gari yangu nikiwasha taa full taa zote zinazima. Tatizo laweza kuwa nini
Sio kula FUNDI WA umeme WA gari anawezaThank u umenipa mwanga kidogo, nitaenda kutafuta mafundi wa umeme wa magari hope they will help me
utoe na mrejesho mafundi wamebaini nini.,,ila nakushaur ungeanzia hapo kwa sababu mara nyingi alarm inafungwa hapo kwenye cover la steering na maeneo hayo ndo yana hizo waya za taa,,pengne fundi alizibugudhi kwa namna yoyote,,,wapelekee mafundi wajuzi sio wale wa kufungua fungua vitu na kukata waya hovyo