Tatizo sehemu za siri

Tatizo sehemu za siri

wakuonewa

Member
Joined
May 1, 2012
Posts
14
Reaction score
2
kuna tatizo ambalo linamatokeaga mdogo we2 la kuwashwa kwenye tupu yake ya nyuma je mnaweza kunsaidia chanzo chake na dawa
 
Minyoo au kutokujiosha/kukausha vizurii sehemu hiyo baada ya haja kubwa/kuoga au matumizi ya pilipili kwenye chakula inaweza kuwa sababu. Apime choo kuangalia kama kuna minyoo, na kama ipo atapatiwa dawa kuondoa tatizo hilo. ikiwa hakuna minyoo, asitumie pilipili na ajioshe vizuri ,ahakikishe sehemu hiyo ni kavu kila baada ya kujisaidia au kuoga. Pia nguo za ndani ziwe kavu.
 
Back
Top Bottom