Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
mkuu dizaini wewe muimba taarabu eeh?
mbona signature yako imekaa kimipasho-mipasho tu?
(lakini kweli UDSM kuna vilaza. mfano Bansen Burnner)
Ni kweli mzee mimi ni mjukuu wa mzee Juma Bharo, kila jumamosi huwa naimba pale lango la jiji na kiberiti changu nimeweka mavi maalum kwa ajili ya kunusa ilikunipa mzuka.
Hapo kwenye red sijui nimekuelewa vizuri au naota tu..