mkuu dizaini wewe muimba taarabu eeh?
mbona signature yako imekaa kimipasho-mipasho tu?
(lakini kweli UDSM kuna vilaza. mfano Bansen Burnner)
Ukweli ni kwamba wahitimu wengi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam ni vilaza/wababaishaji [Si kikwete tu!]. Hii inatokana na jinsi wanavyofundishwa [wanakaririshwa na si kueleweshwa] watu wa aina hiyo huishia kuwa wenye nadharia nyingi kuliko utendaji. Mwisho wa safari huwa walalamishi wazuri sana. Chanzo kikuu cha kutoa vilaza ni kwamba Walimu/professors wa mlimani wamejaa wivu na husda!!!
Mwanafunzi aliyehitimu Mzumbe au DIT ni bora kuliko mhitimu wa Mlimani!! POLENI SANA WAHITIMU WA MLIMANI!!

Mnajisumbua kumjibu mbumbu huyo, anavisasi na watu walikuwa wanamtesa darani toka shule ya msingi, form four na form six na hatimaye wakamwacha jiapanda wakielekea mlimani, yeye akijoin vyuo vya mafundi mchundo na masecretary.Chuo ni mlimani kwa Tanzania, kama unabisha jaribu kuappy competative International scholarship kwenye fani moja na mtu wa mlimani ndio utapata machungu kwa nini ulifeli form six
i never imagine still kuna watu wenye mtizamo mgando,ukilaza wa mtu katika utendaji hauhusiani na chuo alichosoma,wake up guys lets focus...
Juzi nilikuwa nasoma CV ya Dr. Sally Kosgey, Waziri wa viwanda wa Kenya, nikashangaa kuona amesoma UDSM, nilipofuatilia nikagundua kuna wanasiasa na viongozi wengi wa Kenya wamesoma UDSM akiwemo AG Amos Wako, Bado mtasema UDSM ni ya Vilaza, UDSM ni chuo Bora Africka Mashariki, wapende wasipende!True story ni kwamba wote wanataka kusoma UD,ila wanapokosa nafasi ndio wanaangalia option zingine na kuanza kupiga majungu kuhusu UD.UD ni habari nyingine ndugu zangu, you cant compare it with any other university / college in this country