Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!


Tofautisha kazi ambazo zinatumia utashi wa siasa na agenda ambayo inatekelezwa chama na kazi zinazofuata utalaam wa mtu. Pinda na wengine wanafwata matakwa ya CCM, na inafika wakati elimu zao wanaweka pembeni.Ukumbuke Pinda hafanyi kazi za Sheria pale CCM anafanya kazi za Kisiasa.So akifanya madudu zilalamikie sera na agenda za CCM wala sio elimu yake. Kumbuka elimu inaweza kutumika vizuri au vibaya, hata kuweza kudanganya mpaka watu wenye akili zao wakakuamini ni utalaam.
 
KIla taasisi ya elimu hususani elimu ya juu inakuwa na vilaza wake. Hivyo ni mtizamo finyu kusema chanzo cha matatizo ya watz ni viongozi wengi kusoma UDSM. Kuna viongozi wengi ambao wamesoma nje ya nchi lakini still hawana mchango wowote katika maendeleo ya taifa letu na jamii zinazowazunguka. Na walitoka na GPA nzuri kabisa. Matatizo ya nchi yetu ni ya kimfumo zaidi mfumo uliopo umeoza toka chini kwa watendaji wa vijiji hadi serikali kuu, huku katiba ya nchi ikiubeba.
 

Kama Andrew Chenge vile kasoma Havard University angalia alivyo mtendaji bora
 
ndugu hakuna TCU wala nini kuhoji ubora wa udsm against mzumbe au vinginevyo.mimi ni T96 wa udsm. nakumbuka wale wote wenye akili timamu walijiunga UDSM waliotoswa ndiyo wakenda vyuo vingine.why
 
utumbo mtupu.mbona wanaodisco udsm wanaenda kusoma ditna mzumbe na kumaliza. .

Mkuu.., jamaa anachosema ni kwamba UDSM wanafundishwa kukalili sana na sio kuelewa, so kwa dizaini hiyo wale ambao hawawezi kukalili lazima watashindwa na kwenda sehemu ambako watajifunza kuelewa.
 
Mtoa mada acha kuandika ushuzi.
Fahamu kuwa mzumbe, DIT, IFM, CBE, VETA huko kuna wanafunzi.

Ila UDSM kuna wasomi.

Wasomi?? mkuu hebu kuwa serious, wasomi au waandamanaji? kila kukicha migomo, mara wamesimamishwa chuo..??
Pia kukosa UDSM na kwenda chuo kingine ndo haimaanishi kuwa UDSM ndo wanatoa elimu bora, jst ni kwamba UDSM most of waalimu hawafundishi kuelewa, ila ni kukomoa. Baba yangu mkubwa ni Dakta hapo UDSM n av watched th situation thru yeye..,

Eti wasomi kuliko vyuo vingine.., Heshima mbele mkuu:bump::bump:
 
Suala si kuchukua cream. Unatoa NINI? Unachukua cream unatoa togwa. Wanafunzi wanasikiliza lecture wamesimama madirishani. Lecturer anasahihisha paper 3000 na ni essay. Does it matter whether your inputs were cream? Mnachukua wanafunzi vichwa then mnawajaza utumbo badala ya kuwafundisha. Mzumbe wana wanafunzi wachache hence you don't need to do research to see that they are better at least compared to UD. UD imegeuka voda faster kama shule za kata.

 
Ni sawa nakusema mwanangu ana akili sana atasoma primary za serikali. Mpeleke alafu akimaliza la saba kamlinganishe na aliyesoma tusiime. AAah. What matters si inputs ni process ndo ina determine outputs.
 
Mi nakushauri tuu ndugu yangu...
Ukitaka kwenda kusoma UDSM Home of the Braves kesha saana form six au huko diploma kisha utapata..
Pia ukitaka Mzumbe au DIT wee lala tuu halafu katest nature yako kama utapata zilizobakia kule mwishoni basi watakufikiria huku... Pia kama una hela wala usihangaike njoo pale mwenge karibu na mti nakutengenezea cheti utasoma Mzumbe bila shida mpaka umalize... UDSM wataku-disko kaa mwenzako JK kaaambulia running Mate GPA...


Halafu pia nitakupa maelekezo ya chuo cha kata nafasi ziko wazi... pale nako mpaka degree hata kama huwezi andika spelling nzuri kama hiyo thread yako..

Bye MC usilete kivuli ni heri ukemee mabaya na usifie mazuri:clap2:
 
Na kwa nini wahitimu wa UD wanakimblia Mzumbe kusoma masters? Wakikosa nafasi ndo wanenda UD? Wameshtuka. Tukubali kukosolewa kwa ajili ya kuboresha elimu ya Tanzania kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo. Suala la elimu si ushabiki wa simba na yanga wala CCM na CHADEMA. Vyuo vyote Mzumbe na UD haviko kwenye level ila wanazidiana kunuka. I am luck I got my masters and now PhD abroad but how many will have this chance. Turekebishe elimu yetu jamani.
 
Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking


1 University of Cape TownSouth Africa

2 University of PretoriaSouth Africa

3 Universiteit StellenboschSouth Africa

4 The American University in CairoEgypt

5 University of the WitwatersrandSouth Africa

6 University of KwaZulu-NatalSouth Africa

7 Rhodes UniversitySouth Africa

8 University of South AfricaSouth Africa

9 Cairo UniversityEgypt

10 University of the Western CapeSouth Africa

11 Mansoura UniversityEgypt

12 University of NairobiKenya

13 University of Dar es SalaamTanzania

14 University of BotswanaBotswana

15 Université Cadi AyyadMorocco

16 University of GhanaGhana

17 Helwan UniversityEgypt

18 Alexandria UniversityEgypt

19 Université de la ReunionReunion

20 Tshwane University of TechnologySouth Africa

21 Universidade Eduardo MondlaneMozambique

22 Université Abou Bekr Belkaid TlemcenAlgeria

23 Makerere UniversityUganda

24 Université Cheikh Anta DiopSenegal

25 Université des Sciences et de la Technologie Mohamed Boudiaf d'OranAlgeria

26 University of ZambiaZambia

27 University of MauritiusMauritius

28 Addis Ababa UniversityEthiopia

29 Université de OuagadougouBurkina Faso

30 University of IlorinNigeria

31 Polytechnic of NamibiaNamibia

32 International University of AfricaSudan

33 University of IbadanNigeria

34 University of LagosNigeria

35 Obafemi Awolowo UniversityNigeria

36 Cape Peninsula University of TechnologySouth Africa

37 Sudan University for Science and TechnologySudan

38 University of JohannesburgSouth Africa

39 Nelson Mandela Metropolitan UniversitySouth Africa

40 Zagazig UniversityEgypt

41 North-West UniversitySouth Africa

42 Université Mentouri de ConstantineAlgeria

43 University of KhartoumSudan

44 The German University in CairoEgypt

45 Durban University of TechnologySouth Africa

46 Université des Sciences et de la Technologie Houari BoumedièneAlgeria

47 Central University of TechnologySouth Africa

48 Université Abdelhamid Ibn Badis MostaganemAlgeria

49 Université de BatnaAlgeria

50 Al Akhawayn UniversityMorocco

51 University of GaryounisLibya

52 Strathmore UniversityKenya

53 Kwame Nkrumah University of Science and TechnologyGhana

54 Tanta UniversityEgypt

55 Université d'AlgerAlgeria

56 Kenyatta UniversityKenya

57 Assiut UniversityEgypt

58 Al Azhar UniversityEgypt

59 Mogadishu UniversitySomalia

60 University of BeninNigeria

61 Université Mohamed Khider BiskraAlgeria

62 South Valley UniversityEgypt

63 Université Gaston Berger de Saint-LouisSenegal

64 Minia UniversityEgypt

65 Université Ferhat Abbas SétifAlgeria

66 Université Djillali LiabesAlgeria

67 Menoufia UniversityEgypt

68 Moi UniversityKenya

69 Université d'OranAlgeria

70 MISR University for Sience and TechnologyEgypt

71 Université M'hamed Bouguerra de BoumerdesAlgeria

72 University of NamibiaNamibia

73 Université Mohammed V - AgdalMorocco

74 Université Mohammed V - SouissiMorocco

75 Université Hassan II - Aïn ChockMorocco

76 Université Mouloud Maameri de Tizi OuzouAlgeria

77 Jomo Kenyatta University of Agriculture and TechnologyKenya

78 Université Ibn TofailMorocco

79 October University for Modern Sciences and ArtsEgypt

80 Université de JijelAlgeria

81 University of LimpopoSouth Africa

82 Université d'AntananarivoMadagascar

83 Jimma UniversityEthiopia

84 Université de NouakchottMauritania

85 Bayan College for Science and TechnologySudan

86 Université des Sciences Islamiques Emir AbdelkaderAlgeria

87 October 6 UniversityEgypt

88 Mauritius Institute of EducationMauritius

89 Université Hassan IerMorocco

90 Sokoine University of AgricultureTanzania

91 Université Sidi Mohamed Ben Abdellah FésMorocco

92 University of ZululandSouth Africa

93 Université Hassan II - MohammediaMorocco

94 University of Fort HareSouth Africa

95 National University of RwandaRwanda

96 Université Ibn Khaldoun TiaretAlgeria

97 École du Patrimoine AfricainBenin

98 Université du 7 Novembre à CarthageTunisia

99 University of MalawiMalawi

100 Ahfad University for WomenSudan



Last Site Update: Wed 12 Jan 11

 
Du naona kuna ka ukweli fulani, wengi wa jamaa wanotuka hapo huwa hawajaiva sawa sawa. Nimefanya kazi na jamaa wa UDSM wengine na Masters zao, lkn application ya taaluma zao huwa ngumu. Graduate wengine wa UDSM Wengine nimesoma nao Masters pala SUA, kweli ni Tia maji tia maji. Tena kwa taaluma walizo somea. Hata hivyo sitaki kuamini kuwa tatizo ni chuo bali watu kuto jibidisha zaidi ya kukalili formula za vitabuni.
 
Kuna vilaza Mzumbe na kuna vilaza UDSM, kuna div one Form 6 kote...suala la chuo silioni mimi! Na kuna werevu kote...nimesoma vyuo vyote hivyo, na Marekani pia...sijaelewa suala la walimu linaingiaje..what about student factor?
 


Kumbe wewe uelewa na uchambuzi wako wa mambo ni mdogo ni mdogo zaidi ya mara 100000000000000000000000 ya JK. Wewe umesahau vichwa vingi unavyovijua vimetokea Mlimani?umesahau wapiganaji km kina Sinde Warioba, Ulimwengu, Zitto nk ni zao la UDSM. Mwisho wa siku wewe ndio kilaza wa kutupwa, huwezi kulinganisha UDSM na chuo chochote cha kishenzi Tz. Ukweli utabaki kuwa hivyo.Yaani kweli umeshindwa kujadili mambo ya msingi unafananisha Udsm na ile ODM Mzumbe? kweli wewe ni miongoni mwa vilaza katika Tz hii.
 
Wabongo bana.....pumba tupu.....huo u best wa vyuo mbona hatuuoni kwenye utendaji?
 
Wakati fulani huko nyuma elimu ya Mzumbe vs chuo kikuu-udsm ilipokuwa hot issue kama mtakumbuka Mwl JK wa kweli, Julius Kambarage Nyerere alilitolea ufafanuzi .
Kwa ufupi alisema kuwa graduates wa Mzumbe walikuwa wanatayarishwa kuwa mameneja lakini graduates wa UDSM, walikuwa wanatayarishwa kuwa wakurugenzi.
Sasa chekecha mwenyewe,kuna kilaza kati ya hao? Kama yupo ni nani?!!!
 
Ni sawa nakusema mwanangu ana akili sana atasoma primary za serikali. Mpeleke alafu akimaliza la saba kamlinganishe na aliyesoma tusiime. AAah. What matters si inputs ni process ndo ina determine outputs.

NK,
You have to differentiate between teaching and lecturing. Katika vyuo wanatoa lecture, hata kukiwa na wanachuo 10,000. Kwa wenzetu kuna online lecturing, na wanafunzi wanaendelea kuwa bora. Usilete mifano yako ya nursery na primary. Ua unataka UD waanze kufundisha (teaching) kama vyuo vingine na siyo kutoa lecture? Mwisho utataka nao waanze kutoa tution kama vyuo vingine?

Nadhani aliyeanzisha hii mada ana uelewa finyu sana wa elimu, atoe data, yeye anakuja na blaa blaaa bila ya data. Basi nami nisema Havard University ni vilaza kwani Chenge alisoma huko, afadhali ya Learn It pale Sinza. Je argument yangu itakuwa na mshiko au kufurahisha GT?

Papa D, kufeli kidato cha nne siyo mwisho wa maisha, wee rudia tu kama private candidate unaweza ukapata credit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…