Shomoro
Senior Member
- Aug 22, 2010
- 111
- 27
Kifupi elimu ya Tz inatia aibu sana. Kwa kuwa UD ni chuo kikongwe inchini tulitegemea kiwe mfano wa elimu iliyotukuka but am afraid that UD ni kati ya vyuo ambavyo wanafunzi wapo shallow sana. Unajua Tz ni kati ya nchi za ajabu ambapo mwanafunzi hata wa shahada ya uzamili wanaweza ku-graduate bila hata ya kusoma kitabu au recently published papers kabisa. Unaweza kurithi madesa tu ama masimbi kama wanavyoyaita ambayo mengi yana mbinu za kikufunzi za mwaka 47. Na ukijibu mitihani na tofauti na desa linavyotaka basi umekwenda na maji.Sasa mini naomba tubadilikie vinginevyo tutaendelea kubaki nyuma. Hizi zio zama za kutoa wahitimu COPY & PASTE Siisifii sana SUA lakini naweza kusema ni mojawapo ya chuo kinachoheshimika sana nje ya mipaka ya Tz hasa hasa kwenye nyanja ya utafiti na wahitimu wake wanaonekana kuwa na uwezo wa juu wa kuwa na critical and lateral thinking. I s.hit you not trust me.