Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

i never imagine still kuna watu wenye mtizamo mgando,ukilaza wa mtu katika utendaji hauhusiani na chuo alichosoma,wake up guys lets focus...


wazungu wanasema "you are what you read"......yaani chuo ulichosoma kina affect saaaaaannnnaaaaa utendaji wako.....muone nanihii anavyofanya mambo yake.
 
UDSM wamewahi kuvumbua nini?

wamewahi kuvumbua vitu, sio vilaza kiasi hicho....duh!.....mi sikumbuki walivumbua nini, ila wana wa UD wenyewe watatueleza.....ila nadhani kuna kitu wamefanya.

ni kwa bahati mbaya tu kwenye maswala ya uongozi mambo sio shwari kivileee
 
PAPA D unaonekana umesoma chuo cha SANAA BAGAMOYO ndo maana hata hoja yako imejengwa juu ya premise ambayo huwezi kuijustify! kwetu sisi tunasema UMELIPUKA! MLIMANI is uncomparable na hivyo vyuo vya kati visivyokuwa vyuo VIKUU! ukilaza wa JK ni wa kwake alikuwa nao hata kabla hajaenda chuo! ni pamoja na wengine wote! hawa wote pamoja nawe hata kama tungewapeleka "HAVARD" bado ingekuwa holaaaaaaaaaaaa!:A S 112:
 
mi nipo UD sasa hivi, ngoja niingie kwenye pepa nika DESE, halafu nikitoka nasubiri BUMU....halafu shule ikiisha natafuta kazi...... ninasoma ile course ambayo kila mtu anaikimbilia bila kujua kama nchi inaihitaji, na bila kujua nikigraduate nitafanya nini.

wenzangu wananidanganya tu, kitu ambacho ni cha kawaida....nitaenda kutafuta dili la chapchap nitoke....halafu basi.....zaidi ya hapo nitakuwa natoa longolongo tu.....kiingereza chenyewe ndio hivyo tena.
 
wazungu wanasema "you are what you read"......yaani chuo ulichosoma kina affect saaaaaannnnaaaaa utendaji wako.....muone nanihii anavyofanya mambo yake.

siyo wazungu mzee, ila umetumia lugha ya kiingereza...!
 

Ulisoma chuo gani? Ulifanya utafiti wapi? tunaomba utuletee ripoti kamili ya utafiti wako ili tujue weredi wako. La sivyo omba msamaha kwa kuanzisha maneno ya porojo porojo hapa.
 

unahasira sana mzee ila na kushauri ukazane huko uliko ili ujaribu kutumia matokeo yako ya degree ya huko uliko uombe tena kujoin udsm undergraduate kwa vi gpa vyenu utapata tu
 

MpO PAKA UD LAKINI MKIENDA SAUT MTABAKISHWA KUWA WAALIMU HUKO. NIPO SECOND YEAR UDSM ILA NAAMINI NIKIENDA SAUT NAWEZA KUWAPIGISHA PINDI WAKANIKUBALI VIBAYA MNO
 
Vyuo hivyo vina walimu waliosoma UD.

simple logic: kama vyuo hivyo vina walimu waliotoka UD halafu vyuo bado havina ubora THEN mwenye tatizo ni hao walimu na watawala ambao wengi wao ni UD graduates.

Inamaanisha wameshindwa kuonyesha UBUNIFU wao.
 
simple logic: kama vyuo hivyo vina walimu waliotoka UD halafu vyuo bado havina ubora THEN mwenye tatizo ni hao walimu na watawala ambao wengi wao ni UD graduates.

Inamaanisha wameshindwa kuonyesha UBUNIFU wao.

Ni kweli atuletee profile ya malecture wa vyuo vya DIT na Mzumbe na IFM kabla hajaanza kuponda. Kwa elimu ya sasa ni mtu binafsi si chuo. Ukipigwa lecture unatakiwa ukasome Library sasa huko ndio unapata elimu sio kulishwa kama sekondari.
 
Mbowe na slaa wamesoma wapi?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Naunga hoja mkono.
na matokeo yake hata leo tunaagiza toothpick nje ya nchi.
 
mmmmh naona mheshimiwa kama wewe ndie unayechanganya mambo!Mzumbe kiliwahi kuwa Chuo cha Uongozi kabla ya kupewa hadhi ya Chuo Kikuu.
 

Hawa baadhi umewasahau

Marry nagu
Tundu lissu
Zitto kabwe
James mbatia
Halima mdee.........:.............list ni ndefu!
Explore ur IQ!
 
Inawezekana ikawa kweli japo tafiti hazijafanyika, lakini mimi kitaaluma ni mwalimu mwenye shahada huku makazini pia tunaona jinsi walimu walio maliza UDSM walivyo waoga wa hata kudai haki zao, na ndio maana UDOM inaogopwa sana kuwa ni ngome ya CHADEMA ni kwa sababu ya uthubutu wao wa kudai haki zao japo UDSM nao wana figures ambazo lazima zipewe heko kwa kuwa wameonyesha mambo mengi katika nchi hii.
 

Ndio tatizo la kusoma vyuo vya kata..Uwezo wa kupambanua mambo unakuwa mdogo.Mfumo mzima wa elimu nchi hii umeoza sio UD pekee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…