Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Tulipeni Kisha wenye nyumba tukaeni chini nao tuzungumze,wakate kwenye usafi na vitu vya usafi
 
Watu watatoa mapovu mitandaoni Ila mbele ya wenyenyumba wao kimyaa.
 
Mwenye nyumba rahisi tu si haulipi usafi
 
Bible ilishaandika mwenye nacho kama kawa kwa hiyo serikali hii inatimiza maandiko na walichobakiza ni kupandisha mashetani pekee
 
Back
Top Bottom