Zamani kuna demu mmoja nilikua najiweka alikua akiniona tu utelezi.. Sasa bwana kamaliza chuo kaanza mishe mishe za michezo ana biashara ya nguo uchwara, plus kodi ta fremu na gheto na akakopa iPhone ili awe anapigia picha biashara anavyopost, yaani sahivi kama Sahara desert