tawakkul
Member
- Oct 12, 2022
- 90
- 71
Uwingi wa watu ukitumika vizuri ni mtaji tosha. Watu wakiwa wengi ni tija kwa nchi ikiwa watakuwa wazalishaji, walipa kodi na wenye uzalendo na nchi yao.
Hapa tatizo siyo kuwa na watu wengi au kuzaa sana. Tatizo wanaozaliwa wanaandaliwa vipi kukabiliana na changamoto za kimaisha?
Nchi ikiwa na watu wengi walioandaliwa vyema kukabiliana na changamoto za maisha, wakaandaliwa kujitegemea, wakaandaliwa kuwa wabunifu na wenye uzalendo na nchi yao obviously uwingi wao utakuwa una faida badala ya hasara.
TUSIOGOPE KUZAA KWA HOFU YA KUSHINDWA KUWAHUDUMIA, TUZAE ILA TUAKIKISHE TUNAWAANDAA VYEMA NA CHAMOTO YA MAISHA.