Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki.
Mchango ambao kwanza umetolewa baada ya tukio la Mbeya, pia umetangulizwa Kwa maneno ya kumponda Mwenyekiti wako Mbowe Mimi sijaukubali. Angalia mchango uliochangiwa Kwa hiari na watu bila maneno ya kebehi yoyote usiwavunje nguvu.
CCM ni wajanja sana wanacheza na akili zako. Na tayari kuna fununu zilizokuwa au zinazotembea kuwa una mgogoro na Mwenyekiti wako. Hata siku ile nilipokuona wewe, Mnyika na Salumu amba tumekutuna aminishwa hamko pamoja nilifarijika sana kuwaona mpo pamoja.
Uwe makini kesho watasimama kukusimanga. Pia itaonesha kuwa ni kweli wasemayo kwamba Mbowe anakunyanyasa. Mimi sikuwahi kuamini, siamini, na siji kuamini kama CCM wana roho nzuri kiasi hicho.
Kila wanachofanya wana sababu. Yawezekana una cha kueleza baada ya kupokea. Mwanzo nilichangia hoja kwamba pokea lakini nimetafakari upya na Kwa kujua tabia zao nimesita. Hoja inayojengwa na mtu anayeitwa Msigwa mliyemlea wenyewe na Sasa amegeuka kuwapigia mawe kuweni makini naye.
Ulisema mwenyewe kuwa kuna mtu alikuja na Abdul kuleta mzigo nyumbani kwako haujamtaja ok sawa! Abdul huenda ndo mlango anaoingilia Sasa wa nyuma. Hebu tafakari.
Soma Pia: CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea
Mimi siamini, hivi ni kweli Mbowe anakutenga? Anakuchukia? Ana mipango yake binafsi? Ninachooamini Mbowe anapigwa mawe sana ya kisiasa kuliko wewe ndiyo maana angalau ulinzi unakuwepo mkubwa kuliko wewe.
Pia ni mipango yenu ya utendaji kazi. Hivi mmefikia mahali ambapo CCM wanawapangia jinsi ya kufanya siasa? Wamewashika masikio? Magari yao ni kodi zetu. Ndiyo maana msafara mmoja magari 300 na mafuta full tank.
Na CCM wanaamini wakiweza kuwasamaratisha na kumuangusha Mbowe CHADEMA imekufa wakose wa kusumbua genge lao waendelee kupeta. Ndiyo maana wanaongea kila lugha kuhusu Mbowe mara kakaa sana, mara ana saccos mara anakutenga.
Ilhali kuna watu CCM wapo tangu TANU sijasikia wanasema wasiwe mawaziri wanabana nafasi za vijana. Lissu ndugu yangu kuwa makini. Urafiki wa Panya na paka. Ila kama unaona haitashusha cv zako pokea.