Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa elewa wanakigamboni nini wamekosa maana kuanzia barabara , kivuko na sasa umeme. Hivi nini tatizo ? Inasikitisha sana kukosa huduma hizi umeme, kivuko na barabara. Inaumiza sana.Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
Nimekutana sa a na malalamiko yao.Nashindwa elewa wanakigamboni nini wamekosa maana kuanzia barabara , kivuko na sasa umeme. Hivi nini tatizo ? Inasikitisha sana kukosa huduma hizi umeme, kivuko na barabara. Inaumiza sana.
Tatizo la umeme tena wakati tunaambwa mama amefanya miujiza? Je hiyo miujiza haijafika Kigamboni mwanangu?Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.