Tatizo /Vingunguti

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
📌 Penye miti hakunaga wajenzi nikiongezea na msemo wa ndugu zangu wahaya(zagwa mbali batazilya)...
📌vingunguti kuna machinjio ila tembelea mighawa sijui niseme vihotel VIDOGO vya mitaani mtanisaidia wataalamu wa kiswahili.. nyama ambazo wanapika sijui wanaokotaga wapi?
Maana nyama kilo sio chini ya 7k.

📌 kingine kwa wale wenzetu waislamu wanasema hawalagi vibudu walai kwa Dar kula vibudu nikila siku maana sijawai sikia kuna ng'ombe aliyekufa afu wakamtupa mmmh .

Kwanza nyama nzuri hailiki kisa ni nini?.

Kingine mazingira ya machinjio machafu hii imekaaje?
me naomba kuwasilisha.
 
Kwani we unachotaka haswaaa haswaa ni kipi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…